Uchaguzi 2020 Mstahiki Meya wa Ubungo Boniface Jackob achukua fomu ya kuomba ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa Kishindo

Jamaa anafaa kuwa mbunge, nikijana mwenye akili nyingi na jasiri.

Anakwenda kuwa mwiba mwingine bungeni kwa serikali katika mambo ambayo hayana maslahi kwa wananchi.
 
Wewe na mama yako wambea
 
Ila CDM hemu jengeni hata ofisi
Halafu ubungo ni too strategy kuchukua upinzani
Hilo Jimbo ni la CCM
 
BA Education tu. Japo Sina uhakika ana GPA ya ngapi
Kwa hiyo kwako wewe Bashite, aliyejaa Dar Nzima,including Ubungo, Zero Brain, ni Msomi kuliko Jacob, mwenye Bachelor Degree of Arts in Education ?
 
Huwa nakaa ufukweni na kuwatafakari Chadema.....

Nawatafakari sana vijana wa CDM....hususani wale wenye hulka Kama ya BONIPHACE JACKOB..

Hukumuelewa Mama yako, ni kwamba anatamani Baba yako angekuwa kama hao Jamaa MABOKSA,WACHEZA FILAMU ZA MAPIGANO NA MIELEKA.
Kimsingi Mama yako akikutana na Jacob Boniface lazima atoe Mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…