Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Wewe ndie unaejidanganya, tawala iliyopita na tawala hii ni vitu viwili vyenye utofauti mkubwa sana, endelea kutunza maneno hya Mungu akitupa uzima utarudi kuja kudhibitisha.Acha kudanganya kwan wapinzani waliokuwepo bungeni miaka iliyopita walishindaje mbona tume ni hii hii ya sasa?
Hivi kuna mwenye akili timamu anayemsikiliza Makonda ?kwa mkwara wa Makonda sidhani kama wananchi watathubutu
Hiyo meza ya ofisi inaweza kukupa gundu ukakosa na Ubunge.Maneno matupu hayavunji mfupa .
Kama JacobUmeya haulipi? Ubungo tunataka wasomi
Uko shalow sana, unajikeshesha upate BwanaHangover ya faru John hiyo....tatizo lenu hamsomi between lines....bavicha wepesi Sana sijui wapi mlikopewa kichwa na kuwa overrated...,supu njema😂
Makamanda wamekula modo tuuManeno matupu hayavunji mfupa .
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbona hiyo ofisi hapo anapochukulia form pako kama store ya kutunzia mizigo?
wote watia nia mzeeKwa hiyo kubenea itakuwaje sasa
Umeya haulipi? Ubungo tunataka wasomi
Swadakt...muache avae Bereti km yuko Cambodia ya UKOMUNISTI😂😂😂Ubungo Tunakwenda na Professor
Onyo : Kitila Mkumbo tafakari upya jimbo la kuvamia
Halafu aliishia wapi ? Makelele na madevu mengi lakini matokeo hamna .Maneno matupu hayavunji mfupa .
Hakuna ubabaishaji wala nini, huyu ni mtu sahihi kwa nafasi sahihi. Kongole kwa CDM kwa kuwa na hazina ya viongozi kama hawa.