mstakabali wa elimu yetu

kuku87

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
1,220
Reaction score
295
habarini ndugu zangu wana wa jf, poleni na majukumu ya wiki nzima katika kujitahidi kulihudumia taifa hili lenye matatizo lukuki kushinda idadi ya wananchi. Swala lililonileta leo limetokana na maajabu niliyokuwa siyafahamu kuhusu elimu yetu, hivi jamani katika Tanzania hii ukipata marks kuanzia 50 ni B. Kuna haja kubwa kubadili huu mfumo maana wenzetu hawaendi hivi nilikuwa nikipitia transcript ya rafiki yangu nashangaa kuona 40 ni satisfactory, ukiangalia jirani zetu tu Uganda ukipata jini ya 50 tayari ni F hebu naombeni mawazo yenu wanajamii, mwenzenu sikusoma hapa
 
mkuu naomba ufafanuzi hii ni level gan ya elimu vyuoni au wap...? kama ni vyuo mimi sina tatizo na hilo.
 
Swala la mpanglio wa marks na GPA kwa ujumla katika level ya chuo hayahusiani na sera ya nchi bali ni utaratibu wa chuo husika ulivyojiwekea mfano tz apa apa vyuo vinatofautiana kama SUA na MUCcOBS C inaanzia 50,ata izo nchi zingine ulizozitaja kila chuo kina mfumo tofauti na vyuo vingine katika swala zima la mpangilio wa GPA na marks.
 
jamqni tuongelee reality kwa mwanafunzi wa chuo kumwambia B ni 50, hapa kwa kweli cjapata ona sikuwahi kusomea tz ndo nimeona maajabu haya kwa matokeo yangu ya huko nilikosoma kwa huku bongo ningekuwa na b+ na A tupu
 
jamani tuongelee reality kwa mwanafunzi wa chuo kumwambia B ni 50, hapa kwa kweli cjapata ona sikuwahi kusomea tz ndo nimeona maajabu haya kwa matokeo yangu ya huko nilikosoma kwa huku bongo ningekuwa na b+ na A tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…