kuku87
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 1,220
- 295
habarini ndugu zangu wana wa jf, poleni na majukumu ya wiki nzima katika kujitahidi kulihudumia taifa hili lenye matatizo lukuki kushinda idadi ya wananchi. Swala lililonileta leo limetokana na maajabu niliyokuwa siyafahamu kuhusu elimu yetu, hivi jamani katika Tanzania hii ukipata marks kuanzia 50 ni B. Kuna haja kubwa kubadili huu mfumo maana wenzetu hawaendi hivi nilikuwa nikipitia transcript ya rafiki yangu nashangaa kuona 40 ni satisfactory, ukiangalia jirani zetu tu Uganda ukipata jini ya 50 tayari ni F hebu naombeni mawazo yenu wanajamii, mwenzenu sikusoma hapa