Mstari mweusi chini ya kitovu.

Mstari mweusi chini ya kitovu.

Ni research gani hiyo uliyofanya iliyohusisha wanawake 15? Je unaweza ku-share na wana JF methodology na findings zake?

Af sample population of study mbona ndogo sana? Only 15 women?true?is u a research is validity and reliability?!
 
Kwa mimi ninavyofahamu huo mstari huwa hauonekani kama binti hajazaa, na anapozaa mstari huo huonekana zaidi kuanzia kwenye kitovu kushuka chini hadi kwenye sehemu ya kinena ni black vertical line. Hii nimekua nikiitumia kipindi sijaoa kumpata binti ambaye hajazaa kabisa. Sikupenda kuoa aliyezaa, kama kazaa mstari huonekana zaidi na kama hajazaa hauonekani kabisa. Ni hayo tu!

mbona wa kwangu ulikua unaonekana kabla hata sijazaaa?
 
Is this your methodology and findings? and you had 15 females in your sample size? and yet you want to tell us that linea nigra is associated with women fertility? That's not possible! Your methodology and findings can not be trusted!

Yes this it is! The research was not intended for the public benefits instead it was to fulfill my own needs. No publication was made to inform the public about its findings, it remained to be my secret with those who informed me about linea nigra and its applicability to women. Trust me please linea nigra is faint in young ladies and sometimes it is not visible at all. In adult women who have already given an infant, the line is well marked and visible. The number of sample for myself is small but if combined with those of the 'washkaji' who conviced me to excute the research, it bring us into conclusion!
 
Your conclusion can not be trusted hata kama unasema it was for your own purposes, besides what you have reported is not new, it is known for ages!
 
mbona wa kwangu ulikua unaonekana kabla hata sijazaaa?

Kama hujazaa huwa unaonekana kwa mbali kama umefifia fifia (faint in color) na wengine hauonekani kabisa. Ukizaa huwa unakolea zaidi hata sio wa kutafuta. Halafu kumbuka katika research sio sample zote zitatoa majibu sawa, huwa wanaangalia sample nyingi zenye majibu yanayofanana ndio linakua jibu la research yako. Huo mstari kuwepo kwake au kutokuwepo kwake hakuashirii ugumba au kuzaa.
 
Kwa mimi ninavyofahamu huo mstari huwa hauonekani kama binti hajazaa, na anapozaa mstari huo huonekana zaidi kuanzia kwenye kitovu kushuka chini hadi kwenye sehemu ya kinena ni black vertical line. Hii nimekua nikiitumia kipindi sijaoa kumpata binti ambaye hajazaa kabisa. Sikupenda kuoa aliyezaa, kama kazaa mstari huonekana zaidi na kama hajazaa hauonekani kabisa. Ni hayo tu!
Mkuu hapa unatuweka njia panda wadau kwa maelezo yako? inamaana msitari ukionekana tu ujue kesha zaa na usipoonekana ujue kitu 'sealed", mbona wengine mstari upo ila bado hajazaa?
 
What i know ni kwamba huu mstari kwa wanawake wajawazito huu mstari huonekana zaidi kuliko yule ambaye si mjamzito
 
Your conclusion can not be trusted hata kama unasema it was for your own purposes, besides what you have reported is not new, it is known for ages!

Mkuu kama nilivyo kwambia, huo utafiti ulikuwa ni kwa ajili yangu na sijakulazimisha uuchukue na kuufanyia kazi. Mbali na hayo, utafiti mwingi unaofanyika huwa ni wa kujiridhisha juu ya jambo fulani linalokukabili kwa wakati huo. Ni kweli tafiti nyingi zimefanyika kuhusiana na Linea nigra, kwa upande wangu sikutaka nitafiti kitu kipya ili niitwe professor, nilifanya ili kujiridhisha. Ndio maana katika research kuna Review of related literature za watu wengine waliowahi kutafiti katika jambo husika.
 
Mkuu hapa unatuweka njia panda wadau kwa maelezo yako? inamaana msitari ukionekana tu ujue kesha zaa na usipoonekana ujue kitu 'sealed", mbona wengine mstari upo ila bado hajazaa?

Ambao hawajazaa mstari huwa umefifia na wengine hauonekani kabisa. Wakizaa rangi ya mstari hukolea zaidi kuliko wasichana ambao hawajazaa kabisa. Halafu, nilidhani watu wengi wanauelewa na hili jambo kumbe ni wachache tu wanaofahamu.
 
Back
Top Bottom