MBU najaribu kuwaza hapa, hivi ex ambae sikuzaaa nae kwa mfano anawezaje kunifanya msukule,
...Akitaka anaweza sana tu iwapo ulishawahi kumruhusu akufanyie mojawapo au zaidi katika haya yaliyomo kwenye Pie hii;
...have you ever suffered any kind/form of Abuse tajwa hapo juu?
nshawahi fanyiwa baadhi ya mambo yaliyopo kwenye hiyo chart hapo juu, ila nilikuwa ndani ya mahusiano, baada ya kuachana alitaka kuendeleza mawasiliano, mara atume picha, mara aniambie amelazwa, majibu yangu yalikuwa awasiliane ana alie mimi siitaji kuwasiliana nae,na akiugua amjulishe alienae mimi sina msaada, nilikuwa mkorofi sana kwake baada ya kuachana, kilichobaki siku hizi ni salamu tu tena tukikutana njiani.
hivi unaweza kufanywa msukule ukiwa mapenzini