"Msukule" wa Mapenzi...

nimetoka kupokea call yake sasa hivi, mama yake mgonjwa sana, leo ndio nimeweza japo kuongea nae na dk kadhaa otherwise namchukia kwa usumbufu wake.

...haya sasa, huo usumbufu ndio ninaouchukia mimi kiasi hata yale ya kiubinadamu yanafunikwa na machungu.
Mfano, anakupigia simu (kwa namba usiyoijua/private number) wakati umelala la mkeo/mumeo...unapokea kwa bahati mbaya halafu anaanza story ndeeeefu za kuuguliwa, hali ilivyo mbaya nk nk...kiasi ya huyo aliye pembeni anakushangaa.

It's Only attention seeking na kuingilia mipaka ya mahusiano mapya. Inaudhi sana!



Well done AshaDii. Hapo penye kusema basi, wengi ndipo inapowachukua muda mrefu kujitambua wanaburuzwa!
Can you share the tips, ulifanyaje fanyaje mpaka ukafanikiwa kukata mawasiliano muda mrefu hivyo?
 

Basi hapo kama hatuna kitu kinachotuunganisha kama mtoto (Basi nitamuogopa kama ukoma) sababu hataki kujenga bali anataka kubomoa; kama kuna kitu cha kutuunganisha kama mtoto basi tamwambia mwenza wangu kwamba Ex wangu ana matatizo makubwa lakini hakuna jinsi sababu tuna mtoto pamoja kwahiyo akipiga simu hata mwenza wangu anaweza akapokea kuchukua ujumbe, au kama ni usiku naweza kuweka namba yake kwenye Screening List hata ikipigwa basi sitaisikia lakini taona missed call later ndio naweza kumpigia na kumuuliza kama kila kitu kipo shwari
 
Kusaidia katika shida siyo mbaya,ila kuwa mwangalifu hasa kama ana mahusiano mengine.

Ulimakafu kusaidiana hatukatai hasa kukiwa na ulazima wa kufanya hayo. kama kwenye ugonjwa au hatari zinazompata mtu hapo hatukatai. Ila tunaloliona limeenda mbali ni pale mtu anapotaka umpe muda wa kutosha katika maisha yako as if mko pamoja. Utake your time to call her au kumtumia sms au kumliwaza wakati amepata matatizo ambayo may be hata sio wewe umeyasababisha hapo sasa inakuwa imezidi
 
Reactions: Mbu
VOR hapa ina maana tayari you are over her.... tatizo ni pale kua bado you are sprung....
Okay kama mimi bado nina-feelings kwake na yeye ana feelings kwangu ndio maana ananisumbua basi maybe tulifanya kosa kuachana na maybe we should have worked out our problems and stayed together
 

VOR hapo sawa nakupata kwa option yako na kw auchaguzi wako. Ila elewa hata mwenza wako uliye nae kuna kipindi atachoka maana ataona kuwa ndio kweli huyu alikuwa Ex wake. Isije ikawa hapa ananidanganya kupokea simu au kupokea ujumbe tuu ujnaopigwa usiku kumbe mchana wana mawasiliano ambayo sio ya kawaida. Hapo pia kuwa makini sana
 
.
Well done AshaDii. Hapo penye kusema basi, wengi ndipo inapowachukua muda mrefu kujitambua wanaburuzwa!
Can you share the tips, ulifanyaje fanyaje mpaka ukafanikiwa kukata mawasiliano muda mrefu hivyo?


Mbu it is not that simple... hakuna formula kua inatakiwa ufanye hivi ili kurealise unaburuzwa... it just happens... Na once tulitengana ilinichukua a year kukubali it is for the best and took me almost two years to fall out of love na kumuona kama ni mtu tu wa kawaida.... Hivo time ndio best healer...
 
Okay kama mimi bado nina-feelings kwake na yeye ana feelings kwangu ndio maana ananisumbua basi maybe tulifanya kosa kuachana na maybe we should have worked out our problems and stayed together

VOR imeshatokea mmeachana na wewe u have your own life na yeye ana her own life. What binds you together ni kuwa mlishakuwa na life la pamoja. Ili wewe usiharibu hapa ulipo na yeye asiharibu pale alipo njia bora si kuseek attention ambayo itawaharibia ila ni kukaa na kujaribu kuwa mbali na kila mmoja na kila mmoja akiangalia ustaarabu wa maisha yake
 
Reactions: Mbu
Okay kama mimi bado nina-feelings kwake na yeye ana feelings kwangu ndio maana ananisumbua basi maybe tulifanya kosa kuachana na maybe we should have worked out our problems and stayed together


Na kuna ex couples zipo hivo.... waliachana, then labda mmoja wao pride ilikua hurt hakutaka kusamehe.... at the end huko mbeleni the still feel for each other... hua inasumbua saana na kua unfair kwa wapenzi wao wapya...

Ila tatizo ni kama mmoja bado anapenda hali mwingine has moved on....
 
Reactions: Mbu
Mbu.....hiyo ya kunical na no niczozijua coz anajua ya kwake cwez kupokea(leo pia amecal na no nicyoijua) ndio inanikera zaidi zaidi, kuna cku alinical nipo na msukuma tunaelekea kuwajibika, unajua ile mtu anaanza na salamu ndefu maelezo mengi na hujamjua bado, unabakia unamuuliza mwenzangu nani, anakuuliza/eleza cjui nn na nn na nn, msukuma pembeni anahic unaongea kwa wacwac, inaniletea shida sana sana, unakacrikiwa kucpo na lazima..na maswali yacyo na lazima...anakuharibia cku kabisa......kweli inaudhi sana.
 

Ashadii hapo inakuwa ngumu sana kuhide zile feelings hasa mnapokutana wakati huo may be kila mmoja ana mwenza.
It is hard to hide feelings towards each other mnapokutana. Ila sasa ngumu ni kuwa pale unapokuta mmoja ndio anazo mwingine hamna na mmekutana ni ile issue ya kuhama mahali hata kama ni sehem ya starehe
 
Mimi sipendi kuchezeana akili...yani mtu mmeshaachana bado anakusumbua tena mwingine makusudi kuona kama bado unamfeel au utachanyikiwa vipi!!
Salamu mara moja moja siyo mbaya...
 


Umeeona eeeh?? That is why nimesema kua inakua Unfair kwa wenza wapya... Inaumiza kweli yaani.
 
Reactions: Mbu
Utumwa na utegemezi wa hisia!Unapompa mtu mamlaka ya kukuamulia ujisikieje ni hatari sana kwani wewe ni mtumwa kwake,akiwa na hasira roho juu,asipopokea simu unajistukia,ukimpigia sim asipocheka kwenye mazungumzo yenu inakuwa kazi,n.k....Kama yanakutokea hayo na mengine ya kufanana na hayo jua hayo sio mapenzi bali utumwa,Upendo wa kweli pale unapokuwa na maamuzi yako mwenyewe namna unavyotaka kujisikia,nje ya hapo ni matatizo!
 
Reactions: Mbu

hapo mie ndipo panaponitia matatizoni kila wakati, na x ndio ametumia kama kigezo, anafanya kwa kusudi la kuharibu/kunipotezea amani, ni ngumu sana kila cku kumweleza mwenza wako kwamb ni salamu tu, cjui nn na nn na akakuelewa, kweli inakera sana...Mbu nae cjui ametokea wapi na hii thread leo.
 
..............Inauma sana!.................umewaza nini leo?
Chauro, yamekukuta wapi tena?? i thought wewe bado mdogo??

Mbu... ngoja nipate dinner leo nipo uhindini ntarudi badae kidogo kabla hujalala
 

Inakuwa ngumu sana kila siku wewe ni kujustfy hapana ilikuw asalam tuu au ilikuwa ananiambia kuhusu ugonjwa au habari za mtoto. Sasa iwe kila siku. Mwenza wako lazima nae atadoubt kuwa kuna something fishy kinaendelea sio salam tuu
 
Reactions: Mbu
Wanasema whats wrong with being a fool in love????????????
 

...Nice one, ni bora kuwa muwazi kwa mweznza wako mpya kuyaepusha haya.


Okay kama mimi bado nina-feelings kwake na yeye ana feelings kwangu ndio maana ananisumbua basi maybe tulifanya kosa kuachana na maybe we should have worked out our problems and stayed together

VoR mybrother you never learn ee? tunazungumzia emotional roller coaster hapa, kwamba nia na madhumuni ya huyo anayekufanyia hivyo anajua ulimpenda sana, akakutumia ipasavyo na anaujua udhaifu wako.

Kwakuwa mmeachana, anatumia udhaifu ule ule [kwamba anajua ulimpenda sana,] kuamsha hisia zako -si za mapenzi- ila huruma ambayo anajua itazaa tena mapenzi akutumie tena kukuumiza. Learn bro, it's a circle. Hayo si mapenzi...it's Emotional Roller coaster- "Msukule!"
 

Mbu naona VOR hajajua kuwa hapa unatumika na unatumiwa. Kuseek attentio kwake sio kwamba hajui hilo anajua fika kuwa mliachana na kila mmoja ana maisha yake na kila mmoja ana mwenza wake may be ila anakutumia tuu. Na anajua ni wapi atakupata na wapi ashike karata yake na aiplay vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…