Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,480 Reaction score 7,443 Jan 30, 2026 #1 Walivunja kifungu namba 87 cha sheria cha kanuni ya adhabu kwa kupigana hadharani. Wakamatwe na kwa sababu ushahidi upo wapelekwa mahakamani na wahukumiwe miezi sita jela.
Walivunja kifungu namba 87 cha sheria cha kanuni ya adhabu kwa kupigana hadharani. Wakamatwe na kwa sababu ushahidi upo wapelekwa mahakamani na wahukumiwe miezi sita jela.
City Of Lies Platinum Member Joined Sep 8, 2011 Posts 6,073 Reaction score 7,997 Jan 30, 2026 #2 Watasema hiyo video ni AI 😀
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 1, 2026 #3 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw