Msukuma: Sikuhongwa gari ili kuwatetea DP World. Nimelipa kodi bila exemptions ili walimu wapate mishahara

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45.

Amesema mtu yeyote anayetaka kujaji anaweza kumuona, kwa kuwa ana magari mengi ikiwemo Ambulance kadhaa ambazo anazitoa bure kusaidia raia wa jimbo lake.

Musukuma amewataka wabunge wa CCM kutetea jambo la DP World kwa hali zote, hata hivyo hakuzungumzia kuhusu masharti ya mkataba ambayo yaneleta ukakasi kwa watanzania.
 
Mpwayungu Village akiiona hii kauli ya Msukuma lazima awapopoe walimu
 
Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45.

Amesema mtu yeyote anayetaka kujaji anaweza kumuona, kwa kuwa ana magari mengi ikiwemo Ambulance kadhaa ambazo anazitoa bure kusaidia raia wa jimbo lake.

Musukuma amewataka wabunge wa CCM kutetea jambo la DP World kwa hali zote, hata hivyo hakuzungumzia kuhusu masharti ya mkataba ambayo yaneleta ukakasi kwa watanzania.
Huyu naye ni Mpwayungu tu
 
Walimu ni special group ahseee dah wapo kama yatima vile, nasikia hata Fei toto Ile pesa alochangia imeelekezwa ikasaidie walimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahah[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walimu ni special group ahseee dah wapo kama yatima vile, nasikia hata Fei toto Ile pesa alochangia imeelekezwa ikasaidie walimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaahahaa karibu mwanaharakati huru anayepamabania walimu
 
Huyu jamaa anapewa attention ya bure tu, kinachowavutia wengi kwake naamini ni kimbelembele chake tu.
 
Back
Top Bottom