Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mpwayungu Village akiiona hii kauli ya Msukuma lazima awapopoe walimuAkizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45.
Amesema mtu yeyote anayetaka kujaji anaweza kumuona, kwa kuwa ana magari mengi ikiwemo Ambulance kadhaa ambazo anazitoa bure kusaidia raia wa jimbo lake.
Musukuma amewataka wabunge wa CCM kutetea jambo la DP World kwa hali zote, hata hivyo hakuzungumzia kuhusu masharti ya mkataba ambayo yaneleta ukakasi kwa watanzania.
Bunge liliharibiwa sana kiukweli. Huyu nae eti anawakilisha watuHuyo naye ni umbwa tu akili yake imejaa mamamavi yaliyooza
Jamaa hakwepeshagi, anapiga vifuti haswaMpwayungu Village akiiona hii kauli ya Msukuma lazima awapopoe walimu
AjaaaaaaJamaa hakwepeshagi, anapiga vifuti haswa
Huyu naye ni Mpwayungu tuAkizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45.
Amesema mtu yeyote anayetaka kujaji anaweza kumuona, kwa kuwa ana magari mengi ikiwemo Ambulance kadhaa ambazo anazitoa bure kusaidia raia wa jimbo lake.
Musukuma amewataka wabunge wa CCM kutetea jambo la DP World kwa hali zote, hata hivyo hakuzungumzia kuhusu masharti ya mkataba ambayo yaneleta ukakasi kwa watanzania.
Ahahah[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walimu ni special group ahseee dah wapo kama yatima vile, nasikia hata Fei toto Ile pesa alochangia imeelekezwa ikasaidie walimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaahahaa karibu mwanaharakati huru anayepamabania walimuWalimu ni special group ahseee dah wapo kama yatima vile, nasikia hata Fei toto Ile pesa alochangia imeelekezwa ikasaidie walimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni chizi haswaHuyo naye ni umbwa tu akili yake imejaa mamamavi yaliyooza
Walimu ndiyo wanyonge waombwa kabsaa huyo.
walimu wanaingiaje hapo na kashfa ni yake?
Anatafuta kikimbwa kabsaa huyo.
walimu wanaingiaje hapo na kashfa ni yake?