Inaumiza kuona mijitu miovu isiyo na soni inatamba mitaani. Híi ni kwasabb jamii ya kitanzania inatukuza matajiri na utajiri pasipo kufuatilia ulipatikanaje.
Nchi yetu ingelikuwa ni nchi yenye kuheshimu maadili, Msukuma angelikuwa jela. Lkn cha ajabu amekuwa akitamba mitaani na kuwatukana mpk wasomi bungeni eti kuwa yeye ana akili kuliko maprofesa kwasabb tu ana pesa kuwazidi. Rubbish!
Msukuma aliupataje utajiri wake? Nafahamu hivi karibuni ktk chombo kimojawapo cha habari alidai kuwa ameanzia kwenye umachinga wa kuuza viatu mpk akafika hatua ya kununua gari la kifahari. Hii siyo kweli.
Waovu ndiyo zao hizi tabia za kutafuta uhalali wa mali zao haramu. Atuambie pia ni lini alianza na lini aliacha utekaji wa mabasi huko Kanda ya ziwa na ilimpa faida kiasi gani. Mbona hii haongei kwenye media?
Hajaacha hadi leo kufanya kazi haramu. Soma hii:- DOKEZO - Musukuma na Mashimba Ndaki watuhumiwa kufadhili Uvuvi haramu Ziwa Victoria
Simshangi hadi leo anaposhadadia suala ambalo linalalamikiwa na watanzania la uwekezaji wa DPW. Kwake yeye Msukuma mambo haramu ndiyo yanayompendeza.
Josefu kasheku Msukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini Kumpigia Makofi Tundu Lissu. Aongea kwa hasira
Akibisha nakuja na makala kamili kuhusu utekaji wa mabasi na yule mwanasiasa wa upinzani aliyemuua 2015.