Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wezi wote wamejificha ndani ya CCMMsukuma tangu kitambo sana Mimi nilishamtoa kwenye hesabu huwa nawashangaa sana wanaomsifia kwamba ana akili, ni mjinga sana tena sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wezi wote wamejificha ndani ya CCMMsukuma tangu kitambo sana Mimi nilishamtoa kwenye hesabu huwa nawashangaa sana wanaomsifia kwamba ana akili, ni mjinga sana tena sana.
Ndiyo maana kajificha kwenye CCM asiguswe na mtuMsukuma jambazi kubwa Kanda ya ziwa
Kashabisha tayari haya tuletee hayo makala sasa hivi hapaAkibisha nakuja na makala kamili kuhusu utekaji wa mabasi na yule mwanasiasa wa upinzani aliyemuua 2015.
Msukuma mtu wa Majungu na FITINA pia kigeugeu sana ana tabia ya kuwachongea Watendaji wa SetikaliSiku moja nilikua nasafiri Kutoka Dar kwenda Dodoma Kwa dharura, hivyo nilienda pale Kimara, nikapata gari usiku saa mbilli, walikua ni Wasukuma wametoka Dar kununua hio gari, VX.
Tukiwa njiani story zikanoga, jamaa wakawa wanapiga story kuhusu utajiri wa huyo jamaa, wakaeleza pia Kuhusu Mkurugenzi sijui alinunua gari kitu ambacho Msukuma hakupenda, akamchongea Kwa Magu jamaa akapigwa chini, akaeleza kuhusu namna alivyoshiriki kwenye matukio ya ajabu....Kwa kifupi ilikua inatisha!
Weka source ya hiyo habariInaumiza kuona mijitu miovu isiyo na soni inatamba mitaani. Híi ni kwasabb jamii ya kitanzania inatukuza matajiri na utajiri pasipo kufuatilia ulipatikanaje.
Nchi yetu ingelikuwa ni nchi yenye kuheshimu maadili, Msukuma angelikuwa jela. Lkn cha ajabu amekuwa akitamba mitaani na kuwatukana mpk wasomi bungeni eti kuwa yeye ana akili kuliko maprofesa kwasabb tu ana pesa kuwazidi. Rubbish!
Msukuma aliupataje utajiri wake? Nafahamu hivi karibuni ktk chombo kimojawapo cha habari alidai kuwa ameanzia kwenye umachinga wa kuuza viatu mpk akafika hatua ya kununua gari la kifahari. Hii siyo kweli.
Waovu ndiyo zao hizi tabia za kutafuta uhalali wa mali zao haramu. Atuambie pia ni lini alianza na lini aliacha utekaji wa mabasi huko Kanda ya ziwa na ilimpa faida kiasi gani. Mbona hii haongei kwenye media?
Hajaacha hadi leo kufanya kazi haramu. Soma hii:- DOKEZO - Musukuma na Mashimba Ndaki watuhumiwa kufadhili Uvuvi haramu Ziwa Victoria
Simshangi hadi leo anaposhadadia suala ambalo linalalamikiwa na watanzania la uwekezaji wa DPW. Kwake yeye Msukuma mambo haramu ndiyo yanayompendeza.
Josefu kasheku Msukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini Kumpigia Makofi Tundu Lissu. Aongea kwa hasira
Akibisha nakuja na makala kamili kuhusu utekaji wa mabasi na yule mwanasiasa wa upinzani aliyemuua 2015.
Huyu jamaa kwanza ni tapeli mzoefu.Msukuma aliupataje utajiri wake? Nafahamu hivi karibuni ktk chombo kimojawapo cha habari alidai kuwa ameanzia kwenye umachinga wa kuuza viatu mpk akafika hatua ya kununua gari la kifahari. Hii siyo kweli.
Kwa elimu yake anaona kuishi bila majungu hawezi kuishi! Maisha ya Hovyo sana haya!Msukuma mtu wa Majungu na FITINA pia kigeugeu sana ana tabia ya kuwachongea Watendaji wa Setikali
Huyo jamaa ni jambazi na anaamini sana katika ushirikina. Huko kwenye siasa ameingia ili kupata backup ya uhalifu wake.Siku moja nilikua nasafiri Kutoka Dar kwenda Dodoma Kwa dharura, hivyo nilienda pale Kimara, nikapata gari usiku saa mbilli, walikua ni Wasukuma wametoka Dar kununua hio gari, VX.
Tukiwa njiani story zikanoga, jamaa wakawa wanapiga story kuhusu utajiri wa huyo jamaa, wakaeleza pia Kuhusu Mkurugenzi sijui alinunua gari kitu ambacho Msukuma hakupenda, akamchongea Kwa Magu jamaa akapigwa chini, akaeleza kuhusu namna alivyoshiriki kwenye matukio ya ajabu....Kwa kifupi ilikua inatisha!
Rushwa inalinda uhalifu wake.Kwa nini hajashtakiwa kwa tuhuma zote hizo?
Hakika kumekucha!Inaumiza kuona mijitu miovu isiyo na soni inatamba mitaani. Híi ni kwasabb jamii ya kitanzania inatukuza matajiri na utajiri pasipo kufuatilia ulipatikanaje.
Nchi yetu ingelikuwa ni nchi yenye kuheshimu maadili, Msukuma angelikuwa jela. Lkn cha ajabu amekuwa akitamba mitaani na kuwatukana mpk wasomi bungeni eti kuwa yeye ana akili kuliko maprofesa kwasabb tu ana pesa kuwazidi. Rubbish!
Msukuma aliupataje utajiri wake? Nafahamu hivi karibuni ktk chombo kimojawapo cha habari alidai kuwa ameanzia kwenye umachinga wa kuuza viatu mpk akafika hatua ya kununua gari la kifahari. Hii siyo kweli.
Waovu ndiyo zao hizi tabia za kutafuta uhalali wa mali zao haramu. Atuambie pia ni lini alianza na lini aliacha utekaji wa mabasi huko Kanda ya ziwa na ilimpa faida kiasi gani. Mbona hii haongei kwenye media?
Hajaacha hadi leo kufanya kazi haramu. Soma hii:- DOKEZO - Musukuma na Mashimba Ndaki watuhumiwa kufadhili Uvuvi haramu Ziwa Victoria
Simshangi hadi leo anaposhadadia suala ambalo linalalamikiwa na watanzania la uwekezaji wa DPW. Kwake yeye Msukuma mambo haramu ndiyo yanayompendeza.
Josefu kasheku Msukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini Kumpigia Makofi Tundu Lissu. Aongea kwa hasira
Akibisha nakuja na makala kamili kuhusu utekaji wa mabasi na yule mwanasiasa wa upinzani aliyemuua 2015.
Aisee...dipiiwoldMsuKUMA msemaj wa dpworld
Ushaona lini viongoz wakashtakiwa ndan ya CCM juu ya tuhuma aina hiyo?Kwa nini hajashtakiwa kwa tuhuma zote hizo?
Huyu jamaa kwanza ni tapeli mzoefu.
Alikopa mabenki kwa hati za watu aliowarubuni na mkopo hakulipa!
Walipokuja kukamata mali za waliotoa hati akanza danadana za kuwakwepa hawa watu!
Sio mtu wa kuamini hata mara moja, ni kanjanja na wananchi wa Geita tafuteni mtu mkweli 2025.
Sasa atabisha wapi ndugu, wewe ungefunguka tu mazimaAkibisha nakuja na makala kamili kuhusu utekaji wa mabasi na yule mwanasiasa wa upinzani aliyemuua 2015.