Msukuma siyo wa kumuamini, ni muovu wa fikra na muovu katika maisha yake

Uafrika hasa utanzania ni laana.

Waafrika ni incomplete human beings.

Mtu ana iba, Halafu ana chekewa na kupewa uongozi.

Hata wanyama wametuzidi Akili.
 
Msukuma mtu wa Majungu na FITINA pia kigeugeu sana ana tabia ya kuwachongea Watendaji wa Setikali
 
Weka source ya hiyo habari
 
Msukuma aliupataje utajiri wake? Nafahamu hivi karibuni ktk chombo kimojawapo cha habari alidai kuwa ameanzia kwenye umachinga wa kuuza viatu mpk akafika hatua ya kununua gari la kifahari. Hii siyo kweli.
Huyu jamaa kwanza ni tapeli mzoefu.
Alikopa mabenki kwa hati za watu aliowarubuni na mkopo hakulipa!
Walipokuja kukamata mali za waliotoa hati akanza danadana za kuwakwepa hawa watu!
Sio mtu wa kuamini hata mara moja, ni kanjanja na wananchi wa Geita tafuteni mtu mkweli 2025.
 
Huyo jamaa ni jambazi na anaamini sana katika ushirikina. Huko kwenye siasa ameingia ili kupata backup ya uhalifu wake.
 
Hakika kumekucha!
 
Kwahiyo Mbowe ndiyo ana utajiri wa Hali? Hiki chama hata CCM ikosee vipi sidhan km kitapewa hii nchi
 
Wachaga ambao ni majambazi wa nchi hawawezi kusemwa hapa
 
Huyu huyu msukuma anayedai katika listi ya mabilionea hapa nchini jina lake haliwezi kukosekana kumbe ni bilionea wa kutapeli mikopo benki! huyu jamaa chenga sana na siku zote huwa anatafuta confidence kwa kutaka kujilinganisha na wasomi kwa mafanikio yake ya janja janja.​
 
Msukuma muhuni, amemtapeli rafiki yangu materials ya ujenzi wa appartment zake zaidi ya milioni 50, ni tapeli Wala usijaribu kufanya biashara nae Kwa Mkopo, ni tapeli na anakuambia huwezi kumfanya kitu
 
Ni mwizi na tapeli ambaye aliyetegemea kuishi kwa kuwashinikiza wakuu wa Idara Halnashauri wampe miradi na fedha za rushwa alipokuwa Mwenyekiti Geita. Kiufupi HAFAI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…