Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hapo Kesho Kwenye Mtanange wa Tanzania Vs Cape Verde kwa tadhimini za haraka haraka Kutakuwa na msukumo mdogo sana kwa mashabiki wa Taifa Stars kuiangia kwa Mchina/Taifa.
Hata kama ingekuwa bure kuingia na kuitazama/kuishangilia Team yetu Hii yote si kwa sababu watu hawana uzalendo na
Team yao bali ni baada ya watu kutambua mapema Taifa Stars sawa na kichwa cha Mwendawazimu kila mtu anajifunzia
kunyoa hivyo basi si kila mtu atatoka kazini/Shughuli za kila siku(sababu katikati ya week) pamoja na mchoko
wote na aende kushuhudia Maumivu ya kusulubiwa na hawa wa-cape verde.
Hapo hapo mechi kuwa katikati ya week na kumbukumbu ya kipigo kitakatifu kule Cape Verde naona kabisa watu wasishangae kabisa kuona viti vingi vikibaki vitupu kwenye mtanange huo.
Nawakumbusha tena watu wamekwisha lifahamu Taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu.
Asanteni