Msukumo mdogo wa watu kujitokeza na Kui-support Taifa Stars (Kichwa cha Mwendawazimu)

Msukumo mdogo wa watu kujitokeza na Kui-support Taifa Stars (Kichwa cha Mwendawazimu)

Umeona utabiri wangu wa 2-0.Nipe like basi.Vijana wamecheza vizuri sana.Kameruni tunaenda mbona.Napenda kuwapongeza watanzania mliokuwa uwanjani kwa ushangiliaji wa hali ya juu.Mbarikiwe sana huo ndio uzalendo
Mkuu tulianza kujitokeza uwanjani baada ya goal la kwanza 😀😀😀
 
Back
Top Bottom