Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #41
Mpira dk 90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira dk 90
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]actually ni KICHAFUNa ikishinda na kufuzu? Je Itakuwa kichwa cha nani?
Sawa mkuu
Umeona utabiri wangu wa 2-0.Nipe like basi.Vijana wamecheza vizuri sana.Kameruni tunaenda mbona.Napenda kuwapongeza watanzania mliokuwa uwanjani kwa ushangiliaji wa hali ya juu.Mbarikiwe sana huo ndio uzalendoSawa mkuu
Me leo nilijua tunashinda 4-0 maana kwa squad iliyopangwa leo ilikuwa balaaaaUmeona utabiri wangu wa 2-0.Nipe like basi.Vijana wamecheza vizuri sana.Kameruni tunaenda mbona.Napenda kuwapongeza watanzania mliokuwa uwanjani kwa ushangiliaji wa hali ya juu.Mbarikiwe sana huo ndio uzalendo
Mkuu tulianza kujitokeza uwanjani baada ya goal la kwanza 😀😀😀Umeona utabiri wangu wa 2-0.Nipe like basi.Vijana wamecheza vizuri sana.Kameruni tunaenda mbona.Napenda kuwapongeza watanzania mliokuwa uwanjani kwa ushangiliaji wa hali ya juu.Mbarikiwe sana huo ndio uzalendo
Hongera mkuu kwa uzalendoMe leo nilijua tunashinda 4-0 maana kwa squad iliyopangwa leo ilikuwa balaaaa
Hata Cape Verde waliingia kujaza uwanja baada ya timu yao kufunga goli la goli la 2.Mechi ya mwisho tunacheza na Uganda ambaye atakuwa amesha qualify.....!!Mkuu tulianza kujitokeza uwanjani baada ya goal la kwanza 😀😀😀
Naona imeshinda baada ya kuwa leo nilikuwa sihishangiliiSasa kule cape Verde walikuwa wanatest mitambo mbona Leo wqmecheza kama watz wazarendo soka safi
Wee koma leo simba+azam vs tunisia acha kuionea Taifa stars mkuu..Taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu!