Msukumo mdogo wa watu kujitokeza na Kui-support Taifa Stars (Kichwa cha Mwendawazimu)

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Hapo Kesho Kwenye Mtanange wa Tanzania Vs Cape Verde kwa tadhimini za haraka haraka Kutakuwa na msukumo mdogo sana kwa mashabiki wa Taifa Stars kuiangia kwa Mchina/Taifa.

Hata kama ingekuwa bure kuingia na kuitazama/kuishangilia Team yetu Hii yote si kwa sababu watu hawana uzalendo na
Team yao bali ni baada ya watu kutambua mapema Taifa Stars sawa na kichwa cha Mwendawazimu kila mtu anajifunzia
kunyoa hivyo basi si kila mtu atatoka kazini/Shughuli za kila siku(sababu katikati ya week) pamoja na mchoko
wote na aende kushuhudia Maumivu ya kusulubiwa na hawa wa-cape verde.

Hapo hapo mechi kuwa katikati ya week na kumbukumbu ya kipigo kitakatifu kule Cape Verde naona kabisa watu wasishangae kabisa kuona viti vingi vikibaki vitupu kwenye mtanange huo.




Nawakumbusha tena watu wamekwisha lifahamu Taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu.


Asanteni
 
Kama mtu una nafasi na uwezo wa kwenda kuwapa nguvu vijana wenzetu lazima ufanye hivyo no matter what . Ni uzandiki,unafiki na ulimbukeni kwa maneno hayo uliyoyatoa . Sometimes ukituma post yako iandike kama mtanzania . Sasa hapo unajaribu kutuamboa nn hasa . Utajikuta wewe ndo kichwa cha mwenda wazimu . Changamoto ziko kila sehem . Taifa stars kupigwa tatu ugenini wala sio big deal ni mambo ya kimchezo . Acha kutuchafulia jukwaa bhana .
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji869]View attachment VID-20181013-WA0036.mp4
 
Leo ndio Leo lile striker katili la Cape Verde Ricardo Gomes ..atawekwa chini ya ulinzi madhubuti wa Kevin Yondan huku Erasto Nyoni akisafisha uchafu wote langoni kwa Stars..Tunaomjua Yondani akicheza mpira wa "kihuni" Ricardo hawezi kufurukuta...Twendeni Kwa mchina kwa wingi buku mbili kitu gani...
 
Tutakuwa wote mkuu leo mtu lazima apigwe 4-0
 
Yaani mpira wa kizamani wa kusubir nyumbani ndio ushinde timu ifumuliwe iwekwe majina madogo si makubwa yaliyolizika wachezaj hawajitum mpira kushind s kocha tu hata uwezo wa kujiongeza mchezaj kitu ambacho weng hawan t stars
 
Na atakuwa alimuona mchezo wa kwanza.Atamuweza lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…