Msuli tembo majibu sisimizi

Msuli tembo majibu sisimizi

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
hv watu kama hawa inakuwa ni kwa sababu ya uwezo wao mungu alivyowajalia au nini sababu? Maana nina ndugu yngu anapiga msuli vbaya sana lkn akipiga paper majibu holaa sasa tatizo ni nini hasa
 
Kusoma sio kufaulu ila aliyefaulu kasoma. Kwa hiyo ili ufaulu kuna mbinu flan flan ambae anaesoma anatakiwa azijue kulingana na somo husika. Mfano usomaji na unapojib mtihan wa history O au A-level ni tofauti na somo la geography au economics, na hata pia uandikaji wa essay (essay basics)nao huchangia mtu kufaulu au kufeli
 
mmenikumbusha Dajawa tc kunawatu walikua wanasoma hadi mtu unakata tamaa but matokeo sasa majanga
 
Back
Top Bottom