hv watu kama hawa inakuwa ni kwa sababu ya uwezo wao mungu alivyowajalia au nini sababu? Maana nina ndugu yngu anapiga msuli vbaya sana lkn akipiga paper majibu holaa sasa tatizo ni nini hasa
Kusoma sio kufaulu ila aliyefaulu kasoma. Kwa hiyo ili ufaulu kuna mbinu flan flan ambae anaesoma anatakiwa azijue kulingana na somo husika. Mfano usomaji na unapojib mtihan wa history O au A-level ni tofauti na somo la geography au economics, na hata pia uandikaji wa essay (essay basics)nao huchangia mtu kufaulu au kufeli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.