Msuli wa chuo

Msuli wa chuo

Watu wengine mnaomponda mleta uzi na ninyi mnakomenti Pumba ambazo hata mkiwapa kuku hawawezi kula
 
me nimefikisha ujumbe sema ujuaji ndo umezidi
 
unashindwa kuelewa madhumuni ya hili jukwaa. If you were trying to be funny ungeweka kule kwenye jukwaa la vichekesho
 
watoto wa fom six na first yea ombeni mpewe jukwaa lenu muwe mnabadilishana ujinga
 
Ufafanuzi wa course na misuli yake
1.education-leo unatoka club kesho una paper alafu no kusapua
2-doctor of medicine-hawa mpaka neurone zinaungua
3-engenearing-msuli kijiji yani all eyes on you
4-economics-yani unaishi kwa stres na unakuwa wa kwanza kuwah chuo kujisapua 5-BCOM-HAKATWI MTU
6-LAW-lazima ukomae na kulala masaa 3 kwa siku
7-mass communication-hata wakienda na laptop wao n fb,skype,twiter na jf mh ebu weka na yako 2 gawane mau2ndu

mulugo unalipeleka wapi taifa......?????!!!!!!!
 
Ufafanuzi wa course na misuli yake
1.education-leo unatoka club kesho una paper alafu no kusapua
2-doctor of medicine-hawa mpaka neurone zinaungua
3-engenearing-msuli kijiji yani all eyes on you
4-economics-yani unaishi kwa stres na unakuwa wa kwanza kuwah chuo kujisapua 5-BCOM-HAKATWI MTU
6-LAW-lazima ukomae na kulala masaa 3 kwa siku
7-mass communication-hata wakienda na laptop wao n fb,skype,twiter na jf mh ebu weka na yako 2 gawane mau2ndu

mbulula wee
 
Back
Top Bottom