Msuli wa udsm ,sua,na mucco usipime

Msuli wa udsm ,sua,na mucco usipime

Waulizeni watu wa mum watakuambia kazi yao,wanasema "wamekwenda kusoma degree na si kuchukua kama vyuo vingine"
 
sifa itawamaliza,yani mnaona wanafunzi kudisko makusudi kutokana na chuki ya malecture wao ni fahari?
cha kushangaza ni wengine kubaki kua tutorial na wao pia kuendeleza system ile ile ya uonevu.

wapi watu wanadisco kwa sababu ya chuki za malecturer
 
Mmh kumbee,..Ni uhuru wa kutoa maoni hta hivyo
 
Kila mtu atajisifu kivyake ila yote poa karibun luxumburg university mpunguze panganga
 
Ubora wa elimu co jpa wala idadi ya supps bal ni uwezo wa kufanyia analysis kwa kile unachokisoma na kuweza kubuni mawazo mapya.
 
Hivi bado kuna watu wanajinadi kuhusu ubora wa vyuo vyao?TRUTH REVEAL ITSELF
 
Back
Top Bottom