Msumari wa mwisho wa Simba ni Mechi ya Azam

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Kwa kiwango cha wachezaji wa Simba, tusubirie tuu kubugizwa goli 2-0 au 3-0 na Azam fc, na huo ndio utakua msumari wa mwisho kwenye jeneza la Simba
Gibril silla
Prince Dube
Kipre junior

Itahitajika miujiza haswa kuzuia hawa jamaa wasiifunge beki goigoi ya Simba goli chini ya 2

Feisal Salum
Yanik bangala
Sospeter bajana

Viungo wetu mzamiru, kanuti na Ngoma hawataiweza hii batlle

Huku mbele tukiwa na mkosa magoli Jean Baleke wakati huo kipa wa Azam anageuka prime Manuel Neuver
 
Baba yetu mlezi TFF alishaliona hilo akapeleka mechi January huko ili tujipange mkuu usiogope. Ikifika mida hiyo kama bado kikosi kibovu kasema atapeleka mechi yetu na azam December 2026 usihofu kabisa.
Mechi zimesogezwa nyingi tuu kupisha AFCON
 
Kwa Simba hii awatoweza kukiepuka kikombe Cha Azam, watachapwa vizuri sana na wakicheza vibaya zile 5 zinaweza kurudi
 
Baba yetu mlezi TFF alishaliona hilo akapeleka mechi January huko ili tujipange mkuu usiogope. Ikifika mida hiyo kama bado kikosi kibovu kasema atapeleka mechi yetu na azam December 2026 usihofu kabisa.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha......
 
Hii Mechi Simba W or D utakuja kunishukuru.
 
Hii ya Simba na azam ilisogezwa lini? Unajua kama hii mechi kwa ratiba ilikuwa ichezwe kabla ya mechi ya Simba na kmc? Unajua hicho kitu?
Sio tu na kmc ilitakiwa tu baada ya mechi ya namungo na Simba alitakiwa acheze na Azam ...ikapelekwa tarehe 1 , baba yenu mlezi wa tff akaona aibu IPO pale pale akairusha Tena Hadi tarehe 13 janwary
 
Sio tu na kmc ilitakiwa tu baada ya mechi ya namungo na Simba alitakiwa acheze na Azam ...ikapelekwa tarehe 1 , baba yenu mlezi wa tff akaona aibu IPO pale pale akairusha Tena Hadi tarehe 13 janwary
Hakika wana baba mlezi ndani ya tff.
 
Viporo havina msaada wowote kwa Simba. Ningekuwa kiongozi wa Simba ningehakikisha mechi zake haziahirishwi hovyo hovyo hata zile zinazoangukia katikati ya mechi za klabu bingwa. Mambo ya kukimbia mechi tuwaachie Yanga.

Kama kuna kiongozi wa Simba anahusika kuishinikiza, kuiomba au kuihonga TFF isogeze mbele mechi zake, huyo mtu hajitambui na hafai kuwa kiongozi wa Simba.
 
Hii mechi tumekubaliana na Bodi ya Ligi iahirishwe kadiri iwezekanavyo. Maana hakuna namna nyingine ya kuepukana na fedheha.
 
Baba yetu mlezi TFF alishaliona hilo akapeleka mechi January huko ili tujipange mkuu usiogope. Ikifika mida hiyo kama bado kikosi kibovu kasema atapeleka mechi yetu na azam December 2026 usihofu kabisa.
Kuna mwaka mechi ya duru la kwanza kati ya AZAM na moja wapo kati ya YANGA au SIMBA ilichezwa wakati duru la pili limeshaanza kwa mizunguko isiyopungua mitatu.
 
Baba yetu mlezi TFF alishaliona hilo akapeleka mechi January huko ili tujipange mkuu usiogope. Ikifika mida hiyo kama bado kikosi kibovu kasema atapeleka mechi yetu na azam December 2026 usihofu kabisa.
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…