Msumari wa mwisho wa Simba ni Mechi ya Azam

Msumari wa mwisho wa Simba ni Mechi ya Azam

Hii match karia na bodi ya ligi wanaipeleka mbele kila mara ili makolo wapate kusajili ili wakikutana makolo wasipigwe nyingi
 
Msimu huu timu ya Azam Fc ipo vizuri sana kiushindani. Kuchukua point kwa azam ni lazima upambane sana.

Ni wazi amedhamiria kuwa bingwa
 
Hata utopolo round ya pili haitabahatisha bahatisha kama mechi iliyopita
 
Sio tu na kmc ilitakiwa tu baada ya mechi ya namungo na Simba alitakiwa acheze na Azam ...ikapelekwa tarehe 1 , baba yenu mlezi wa tff akaona aibu IPO pale pale akairusha Tena Hadi tarehe 13 janwary
Na hiyo 13 January haitachezwa.
 
Back
Top Bottom