Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Katika nchi ambazo Mungu ameweka rasilimali nyingi ardhini ni pamoja na Msumbiji, Kongo, Zimbabwe, Zambia, Angola na Tanzania.
Lakini hizo nchi tajwa zina watu wenye maisha magumu mno.
Kinachohitajika ni akili mpya, mtazamo mpya, watu wapya na hari mpya.
Nchi ya Marekani ilipata hari mpya, watu wapya, fikra mpya mara tu baada ya watu kupigana na kuuana sana mpaka wenyewe wakanyoosha mikono kusema inatosha.
Hawa Msumbiji watadundana sana, watauana sana. Wakimalizana na Dola wataanza kupigana kwa mtazamo mwingine. Watauana sana mpaka watasema it's enough.
Hapo wataijenga New Mozambique. Gesi na mafuta vitaleta tija kwa kila raia . Nawaona wako mbali sana miaka 30 mbele. By 2050 watakuwa miongoni mwa matajiri si tu ndani ya Afrika bali worldwide.
Rwanda baada ya kupelekeana moto mnaona sasa wanavyoishi. Wana rasilimali chache tu lakini wako mbali sana.
Watanzania tudumishe amani.
Mtu ambaye freezer yake imejaa minofu hataki taarifa za msiba mkoani kwake anajua ataacha nyama kwenye freezer ziliwe na dada & kaka wa kazi.
Sijasema vita huleta maendeleo ila Kuna aina ya vita huzaa hari mpya, watu wapya na fikra mpya.