Msumbiji itakuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani miaka 30 ijayo

Si kweli
 
Hilo liko wazi.Huwezi sikia Lugha za kipumbavu huko Mozambique kama za hapa Tanzania

Msumbiji hawasemi Wazungu wamepewa Mali zao.

Msumbiji hawasemi Waarabu wamepewa Bandari

Msumbiji hawana masharti ya kipumbavu pumbavu ya hovyo hovyo kwenye Madini Yao mfano gesi,chuma nk

Wala Msumbiji hawajilalamishi ujinga kama hapa Tanzania

Na ilivyo na Mali lazima wataendelea
 
Tanzania hakuna Rasilimali zozote za maana zaidi ya watu kujaaliwa mdomo ,lawama ,fitina na ulalamishi
 
Chawa
 
Adui namba moja wa maendeleo ya Tanzania ni ambao wanapewa dhamana ya Urais-hawa ndio shida.
Subiri siki nikiwa Rais,nitakuwa zaidi ya Nyerere.
 
Watoto wa 2000 watakuwa na Miaka 54, Sisi wengine tutakuwa kama Mzee Mallechela na tutakuwepo wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…