MSUMBIJI: Kiwanda fake cha iPhones chagunduliwa

MSUMBIJI: Kiwanda fake cha iPhones chagunduliwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mamlaka zimegundua uwepo wa kiwanda haramu kinachotengeneza simu za Kampuni ya #AppleInc bandia katika Mji Mkuu Maputo, ambapo walinasa simu 1,165.

Kiwanda hicho kinachomilikiwa na Raia wawili wa #China, kiliweza kutekeleza taratibu za kiufundi wa simu hizo, kama vile kuunganisha (assembly) na kugawa namba za IMEI, ambayo hurahisisha utambuzi wa uhalali wa kifaa.

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Forodha, Gino Jone amesema kuna tuhuma kwamba baadhi ya simu za mkononi huenda zimeibiwa kwa sababu hakuna hati inayohalalisha uingizwaji na uuzwaji wao sokoni.

…………..

Operatives Discover Fake iPhones Factory In Mozambique, Seize Over 1600 Handsets

The director of Customs Operations, Gino Jone, said the operation to dismantle was the result of a tip-off. A multi-sectoral team on Friday dismantled an illegal fake iPhone factory in the Mozambican capital Maputo city, where they seized 1,165 counterfeit handsets.

According to a country-based medium, clubofmozambique, the factory was able to perform complex technical procedures, such as assembly, assignment of IMEI numbers, which facilitates device validity identification. At the site the authorities also seized various materials used by the suspects to carry out their activities.

The director of Customs Operations, Gino Jone, said the operation to dismantle was the result of a tip-off.

“We received a complaint that raised our suspicions, so we activated our operational lines to find out the truth and after three weeks of investigation we discovered this factory, where we seized 1,165 boxes of iPhone mobile phones”, explained Jone, adding that" they have a shop in Alto Maé neighbourhood.

Jone added that there are also suspicions that some mobile phones may have been stolen.

“These mobile phones were imported without a license from the National Institute of Communications of Mozambique and much less customs declaration. Therefore, we are also dealing with smuggling, because there is no document that justifies the importation and sale of these mobile phones on the market,” explained Jone.

He added that the Mozambican National Communications Institute (INCM), the telecommunications regulatory authority, tried to trace the devices, but without success.

“The colleagues from INCM did some tests on the devices to detect the frequency of these mobile phones, but failed. The owners of the illegal factory, two Chinese nationals, denied all the accusations of any illegal activity. They claim to be running a legal operation.

“We have everything, and we have proved it. So, what they are doing is not normal”, said one of the owners.

Asked the documents about their operations, he said “they took all the documents with them. I’m not going to say anything more.

The illegal goods, according to Mozambican Customs, will be handed over to the Attorney-General’s office for subsequent steps, while the two suspects will face the Mozambican justice.

The multi-sectoral team that dismantled the factory included members of the Mozambican Police, National Criminal Investigation Service, National Institute of Communications of Mozambique, National Inspection of Economic Activities and Customs.

Source: Sahara News
 
wachina oyeeee 😁😁
20221031_140335.jpg
 
Ukiwaona wanavyojitutumua basi na Iphone zao,kumbe unaweza kukuta Iphone zenyewe za Msumbiji,kiwanda cha mabati kimefichwa maswekeni huko,halafu anamcheka mtu na Tecno yake ya China...
 
Inabidi tuanze kuuliza hiyo iPhone ni ya Msumbiji au ya China au yenyewe kutoka kwa Biden maana zenyewe za USA bei yake imechangamka sana. Unashangaa iPhone inauzwa mpya dukani laki 9.
 
Wachina tena! Hizo ndio zile ambazo baadhi ya watu wajinga wanavimba nazo hapa mjini [emoji23]
Ni ngumu mtu ambaye amewahi kutumia iphone kumdanganya na iphone fake unless kama ni refurbished ukadanganywa ni mpya kama zile zinazouzwa makumbusho.
Ila imdanganye iPhone fake kuwa ni iPhone ni ngumu maana iPhone fake zote ni android zenye customization ya android kuwa na mwonekano wa iOS kitu ambacho ni rahisi kugundua maana vitu kama facetime, apple ID, App Store havitafanya kazi vitakuwepo kama icons tu
 
Kuna jamaa kaagiza Iphone 14 na IPhone 13 pro max.

Anatafuta wateja yupo k/koi
 
Back
Top Bottom