MSUMBIJI: Kiwanda fake cha iPhones chagunduliwa

MSUMBIJI: Kiwanda fake cha iPhones chagunduliwa

Mnazi overrate sana Iphone, wakati ni simu kama zilivyo simu/ brand nyingine.

Natype na Iphone yangu ya Makumbusho Lenie 😂😂😂🤸‍♂️
 
Mnazi overrate sana Iphone, wakati ni simu kama zilivyo simu/ brand nyingine.

Natype na Iphone yangu ya Makumbusho Lenie 😂😂😂🤸‍♂️
Mimi ndio sijawah hata kuziota hizo simu, tecno yangu inatosha😂
 
Balaa lipo kwenye idadi ya mzigo wao ambao tayari upo sokoni mpaka sasa.

Unakuta wengi walionunua hizo 'simu' zao ndio wale wanaopiga kelele mitandaoni kwamba "iPhone ni simu za kawaida sana".
 
Back
Top Bottom