Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

Maji na mafuta huwa havichanganyiki, ila bado wakichota inabidi wakayafanyie decantation kwa kuacha maji yote yatulie chini halafu wachote tena mafuta kwa juu.
Yaani babu umenikumbusha form2 hilo neno decantantion is the process of
Separating two liquids with different densities....cheminga hyo hatari sana
 

Mkuu mafuta na maji haviwezi kuchanganyikana[emoji38]...
Jaribu hata hapo ulipo,chukua mafuta uchanganye na maji uone.
 




 
Hii mbona ni physics ya shule ya msingi? Hukusoma kuwa mafuta huelea juu ya maji?Ulisoma mambo ya density?
Kwani vyote vyenye density ndogo vipo hapo? Why mafuta tu? Nadhani hamjamuelewa mtoa mada.. Anataka kujua yamefikaje hapo?
 
Kwani vyote vyenye density ndogo vipo hapo? Why mafuta tu? Nadhani hamjamuelewa mtoa mada.. Anataka kujua yamefikaje hapo?
Umesoma uzi wa mleta mada kweli?!

Nanukuu kutoka kwa mleta mada: ".........Yaani mafuta yachotwe bila kuchanganyika na maji naomba wajuzi watujuze jmn!"

Hapa mleta mada anazungumzia ishu ya mafuta kutokuchanganyika na maji na wala siyo mafuta yamefikaje hapo.
 
Nyambizi(subamarine) ya JWTZ ilikuwa imeenda kupeleleza hao wanamgambo tank la mafuta likapasuka! Ilibidi tugeuze chap chap mpka hapo kigamboni ndo tukalipaki! Nadhani ndo hayo mafuta hata sisi tulikuwa tumeyanyonya hapo Total kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…