Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi

Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi

Serikali ya Msumbiji inabidi imuue tu huyu gaidi kwani lengo lake yeye ilikuwa ni kuua na kujilipua ili akienda motoni akapewe majini 72 aliodanganywa kupewa.
Inawezekana amekutwa kwenye nyumba ya watuhumiwa kama mke wa jamaa!
 
Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi​

Ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma wa Msumbiji imemtaja mwanamke Mtanzania miongoni mwa watu 16 walioshitakiwa kwa tuhuma za kuunga mkono harakati za wanamgambo kaskazini mwa Mkoa wa Cabo Delgado, shirika la habari la AIM liliripoti tarehe 19 Aprili.

Mwanamke pekee aliyejumuishwa katika orodha hiyo ni mkulima mwenye umri wa miaka 36 kutoka Tanzania ambaye inasemekana alijiunga na kundi la wanamgambo Oktoba 2020.

Baadhi ya washukiwa wengine ni wakulima, wavuvi au wafanyabiashara kutoka wilaya za Palma na Mocimboa da Praia, ambao wanatuhumiwa kushiriki katika mashambulizi ya kigaidi, kufadhili na kuwasajili wanachama wapya wa kundi la waasi.

Mmoja wa washukiwa hao alikuwa mwanamume ambaye aliripotiwa kuajiriwa na waasi kuwasakili vijana 50 kwa kuwaahidi dola 15,500 za Kimarekani kila mmoja, ripoti hiyo ilisema.

Mshukiwa mwingine ambaye ni mfanyabiashara ya vyakula, alikamatwa na bidhaa mbalimbali za wizi zikiwemo mahindi, unga, mchele na jenereta za umeme, ambazo zilikusudiwa kusambaza kambi za wapiganaji katika kisiwa cha Vamizi.

====

Angalizo kwa mabaharia wote muendao kusini bado hiyo njia si salama kwenu!
Huyo mwanamke Mtanzania wamalizane naye huko huko, sisi watuletee taarifa tu ili tuweke matanga.

Ugaidi ni haramu
 
HUWEZI KUTENGANISHA NA IMANI. TUNAELEWA SISI TULIOKO HUKU. MIMI KWA SASA NIMEKUJA KUKAA MTWARA. NA HUKU WANAJESHI KILA MARA HUPITA HUPITA NA MAGARI MITAANI. UGAIDI HUU UNA IMANI. NA PESA NAYO INACHOCHEA ZAIDI. HATA MAENEO MENGINE MBALI NA KUPATA BIKRA 72 PIA HUWA WANAWEZESHWA KIUCHUMI.
KOMEO LA CHUMA UTAKUWA NA MATATIZO YA UELEWA NDIO MAANA UNATAKA KUHARIBU NA KUINGIZA KAMA DINI INAHUSIKA KWA 100%.

USICHOKIJUA NI KUWA WENZETU WEUPE HUWA WANA MBINU SANA WANAWEZA PLAN KITU HATA MIAKA 20 MBELE

NA NDICHO WALICHOFANYA PALE KUANDAA VIJANA KUFANYA AMBUSH KWA SURA YA UISLAMU KAMA KUDAI HAKI AMBAYO HAIPO

MBONA WAISLAMU WENYEWE WANAOFAHAMIKA HAWAPO MSTARI WA MBELE KWENYE HICHO MNACHOKIITA UGAIDI????

MBONA HAKUNA MAFUNDISHO YA WAZI ZAIDI YA KUJIFICHA PORINI HUKO

WANAJESHI WALISHAWAI INGIA HAPO ZIWANI NA KUKUSANYA VIJANA NA KUWAPIGA NA WENGINE KUPATA ULEMAVU LAKIN HAKUKUWA NA WALIOHUSIKA ZAIDI YA VIJANA KUANZIA MAULUNGA HUKO.
 
Hii ya watu kushindwa na kusingizia watu weupe imepitwa na wakati. Magaidi wana imani na imani yao inawasaidia kufanya wanachokifanya na huwa hawajifichi wanaweka wazi tu imani yao . kwa nini mki ona jambo halipo sawa mnawasingizia marekani? miaka yote. ISIS , AL Shababy, Boko Haram, IS, Osama Bin Laden..... angalia hawa watu ni imani gani? mkiwa huku JF mkiona wanashambuliwa mnasema ni wamarekani mkiwa nao mnawatia moyo na kuwatukuza. hawa wanaambiwa na maandika wakiua Kafir wanaenda akhera kupata zawadi ya wanawake 72 bikra na wanapewa nguvu za kusex na wanawake 100. si ni maandiko na wanapokufa humtukuza Mungu wao baada ya kulipua au kuwamiminia risasi wengine.
 
NDIO MAANA NIKASEMA HUNA AKILI ZA KUFIKIRIA UNAONGOZWA NA HISIA ZA KUPIGA PUNYETO !! HAYO MAENEO YENYE HIZO VURUGU 101% NI WAISLAMU HAYA KWANN WANAUANA WENYEWE KWA WENYEWE BILA SABABU ZA MSINGI? TANGIA LINI UKAONA WATANZANIA WANA VITA KUPELEKEA KUUANA??? HAYA ALSHABAB WANATAFUTA NINI MTWARA AU KIBITI? KAMA ISHU NI DINI WANATAKA KUENEZA DINI KWA KIWANGO GANI?? NA WANAPATA WAPI FEDHA ZA KUKAA MISITUNI NA MATUMIZI MAKUBWA YA KILA SIKU KUSHINDANA NA SERIKALI???

HIZI MAMBO UNATAKIWA KUTUMIA AKILI SANA LA SIVYO UTAWADHURU WATU KWA DHANA YA KUKARIRI KUWA KILA ANAEVAA KANZU NA KILEMBA PAMOJA NA NDEVU NI GAIDI
AU KILA ANAESEMA ALLAHU AKBARU ANATAKA KUFANYA UGAIDI!
 
I repeat, mtu yeyote anayejitoa ufahamu na kutaka kuwa gaidi kuua watu wasio na hatia ili kutetea dini za watu zisizokuwa na tija kwake, anyongwe tu kwani analihaibisha taifa.
Mgogoro wa kule Cabo Delgado nchini Msumbiji hauhusiani kabisa na suala la dini ya Kiislamu kama mnavyolishwa Propaganda potofu. Suala lile purely ni mgogoro wa kisiasa.
 
Mgogoro wa kule Cabo Delgado nchini Msumbiji hauhusiani kabisa na suala la dini ya Kiislamu kama mnavyolishwa Propaganda potofu. Suala lile purely ni mgogoro wa kisiasa.
Na Wasomalii (Waislam) wanaoishi maporini kule wakishirikiana na Watanzania wajinga waliodanganywa kupewa mabikra 72 motoni, ni wana siasa? Kumbuka wale magaidi hawana akili yeyote zaidi ya kutaka taifa la kigaidi tu.
 
Back
Top Bottom