Msumbiji: Mtoto wa Rais mstaafu afungwa miaka 12 kwa ufisadi wa Tsh. Trilioni 5.1

Msumbiji: Mtoto wa Rais mstaafu afungwa miaka 12 kwa ufisadi wa Tsh. Trilioni 5.1

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1670422707477.png

Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1.

Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha watu wengine 11 waliokutwa na hatia ya ufujaji na utakatishaji fedha za Mradi huo uliotajwa kusababisha mzozo wa kiuchumi nchini humo.

Kati ya waliofungwa ni pamoja na Gregorio Leao, aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi (SISE) wakati Guebuza akiwa Rais, na Antonio do Rosario, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni 3 za Serikali zilizochukua mikopo hiyo.

==================

The son of Mozambique's former president has been jailed for 12 years over a vast $2.2bn (£1.8bn) fishing project scandal that triggered an economic crisis in the country.

Ndambi Guebuza, son of former president Armando Guebuza, was among 11 people found guilty of embezzlement and money laundering.

Kickbacks were also given to some senior politicians.

The consequences of the crime "will last generations", the judge said.

Judge Efigenio Baptista also said Ndambi Guebuza financed his taste for luxury through the crimes of embezzlement and money laundering.

Others given prison sentences include Gregorio Leao, head of the Security and Intelligence Service (SISE) under Mr Guebuza, and Antonio do Rosario, who became chairperson of all three newly-created state companies that took the loans.

Judge Baptista said they "were expected to be the guardians of public assets for being high ranking leaders responsible for security but instead, they are the key culprits".

One notable absentee from the trial has been former finance minister Manuel Chang. He has been detained in South Africa since December 2018, in response to an arrest warrant issued by authorities in the United States, on charges of conspiracy to commit wire fraud, securities fraud and money laundering.

He denies any wrongdoing.

President Guebuza left office in 2015 after a decade in power.

However, his Frelimo party remains in charge - as it has been since independence in 1975.

How did the scandal happen?

Between 2013-2014, three newly established companies took on $2.2bn (£1.5bn) of debt, much of it without the knowledge or approval of the country's parliament. Despite this, the Mozambican government stood as guarantor of the loans, meaning the state would repay the money if things went wrong.

The money was allegedly used to buy a large tuna factory and a maritime security fleet, as well as to finance other deals involving companies in which the state is a leading shareholder.

In 2016, the government swapped some of the debt for a conventional bond, issued by the state. Soon afterwards, it admitted the full scale of the borrowing, triggering an economic crisis in Mozambique.

The country's currency lost a third of its value, inflation surged and foreign donors pulled out.

Auditors also reportedly discovered $500m of the money was missing.

The loans were issued by Credit Suisse and the Russian bank VTB, with three former Credit Suisse bankers pleading guilty to US charges of money laundering over the case.

Late last year UK authorities fined the investment bank $178m over the tuna corruption scandal.

The bank was also ordered to write off $200m of debt "tainted by corruption" that was owed by Mozambique.

The fine was part of a $475m settlement with UK, Swiss and US regulators.
 
Huu ufisadi kwa Africa ni pete na kidole au tatizo ni nini Wakuu [emoji848]
Africa inateswa na ubinafsi. Waafrica ni binadamu wabinafsi kupindukia. Hawajali kabisa maisha ya wengine mradi yeye anapata mahitaji yake ya mwenzake hayamhusu.

Hata tabia ya kujenga fence nyumba ni dalili ya ubinafsi. Jiulize kwa nini nyumba zetu tunaweka fence? Zimekuwa magereza? Tunaficha nn?
 
Africa inateswa na ubinafsi. Waafrica ni binadamu wabinafsi kupindukia. Hawajali kabisa maisha ya wengine mradi yeye anapata mahitaji yake ya mwenzake hayamhusu.

Hata tabia ya kujenga fence nyumba ni dalili ya ubinafsi. Jiulize kwa nini nyumba zetu tunaweka fence? Zimekuwa magereza? Tunaficha nn?
Tatizo ni uharifu, kutowajibika kwa polisi
Kutokuwa na mipango miji bora
 
Sijuagi thaman ya hela hii, ila nikikumbuka kuna kashfa enzi za utawala uliopita kuwa 1.5 trillion ni pesa ya kuweza kununua ndege moja basi ndo naelewaga
 
Jamaa wafilisiwe pia isiishie kufungwa tu na mali zao zitaifishwe
 
Sijuagi thaman ya hela hii, ila nikikumbuka kuna kashfa enzi za utawala uliopita kuwa 1.5 trillion ni pesa ya kuweza kununua ndege moja basi ndo naelewaga
Huo mzigo wa 1.5 trillioni tsh ni mrefu sana arifu sasa huo wa trilioni 5 ndio balaaa ukiwa nao kibongobongo lazima uwe na chawa pro max wakutosha.
 
Hao nao hatutofautiani sana
Yaani Frelimo mpaka leo wapo tu kama sisi
Hapo ni nguvu ya Muzungu imewatia hatiani na hukumu kupita

Hawa wenzetu scandals kibao za mabilioni
Tuna factory jamaa wakajisainia tu hela bila ridhaa ya Bunge

Kweli na huku ipo siku kuna watu watawajibika kwa mikataba yao mibovu
 
Mkuu wa Usalama wa Taifa mstaafu nae kafungwa.

Usalama ndio loophole kubwa kuliko zote ya kufuja mali ya umma za nchi za Africa.

Bajeti ya Usalama wa Taifa na Ikulu hazihojiwi na chombo chochote cha ukaguzi. Wanachota wanavyotaka.
 
Hafadhari ya Mozambique wana dalili nzuri za kwenda mbele maana kuna watu wamefungwa. Mtoto wa rais na mkuu wa usalama wa taifa kwenda jela! Kwa tz kitu kama hicho kamwe kisingeweza kutokea.
 
Afadhali wao wameonesha mahakama zao zinajitambua.Tanzania ni zaidi ya hizo pesa zinazofisadiwa na hii awamu ya sita
 
Back
Top Bottom