The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
Duh hii kitu inaumiza sqnaBora hilo litekelezwe haraka.
Hapa nchini hata mabilioni yenyewe yanayopatikana wanagawiwa machawa halafu chenji ndo zinapelekwa TARURA zijenge barabara za vumbi huku vyoo vya shule tunasubiri misaada ya COVID-19
Wawaondoe magaidi kwanza. Tuna muda wa kujipanga.Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.
Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.
Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.
Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.
Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.
Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.
View attachment 3080432
Pia soma: Bandari za Dar na Mtwara Kuwa Mashakani Kutokana na Nchi za Zambia,Malawi na Mozambique Kuzindua Upanuzi Mkubwa wa Miundombinu ya Nacala Port.
Kwa maelezo zaidi soma hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi
Ushauri,;
Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.
Serikali ifanye yafuatayo
1.Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.
2.Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC(Bukavu,Goma,Kinshasa,Kindu)
3.Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.
4.Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma
5.Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa
6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.
My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya,Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.
Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda,South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.
Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.
View attachment 3080431
Uko na maarifa mingi ndugu mnaitajikaNchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.

Tena siasa uchwara na nyepesiTatizo la Viongozi wetu mda mwingi wamewekeza kwenye siasa kila kitu,kuwaruhusu watu wenye akili ndogo ndiyo wabebe maono ya inchi hii yaani chawa, huku wakiwaacha wenye akili kubwa ilimradi tu wanapingana nao kisiasa
Unajua mtu unapoiongelea inchi ya watu lazima uwe na uhakika wa unachokiongea, RENAMO ni chama pendwa Mozambique kama ilivyo Chadema Tanzania sababu wao wako kwa ajili ya kuwatetea wananchi dhidi ya zuruma za selikariHiyo Nacala(Nashala) kasikazini ya msumbiji kuna miji ya Mpemba na Palmas hayo maeneo yana reli inayotoka Nashala hadi Nampula kwahiyo kwenda Malawi ni kuongezea tu kutoka Nampula hadi Bulawayo/Lilongwe huko Malawi. Hii imekaa vizuri kwa Malawi/ Zambia na ni Mbaya kwa Tanzania. Changamoto. 1. Msumbiji ina waasi wa IS wameenea kasikazini ya nchi katika maeneo hayo ya Palmas, Pemba, Nashala, Montpuez, na na Nampula kiuslama ni changamoto kwa mradi. 2. Msumbiji ina changamoto z kiusalama katika eneo lake na mpaka na Malawi jimbo la NIASA ambapo reli inapita, kuna Waasi wa RENAMO kiongozi wao Dracama, wanaopingana na FRELIMO. 3. Mizigo mingi kwa nchi za Afrika inatoka Bahari ya Hindi China, India, Japan sasa ili meli ifike bandari ya Nacala lazima ipite Afrika mashariki kijiografia (Mombasa na Dar Es Salaam) kwahiyo Tanzania ina nafasi kibiashara. 4. Mozambique na Malawi ni maskini hasa, na ni wavivu wa kufanya lobbying za kutafuta na kufanya miradi mikubwa kwahiyo mpaka mradi ufike Zambia labda ni 2050 ambapo sisi tutakua hatua nyingine. 5. Tanzania itengeneze bomba la gas ya LPG, liende Malawi, Zambia, Zimbabwe, Botswana, South Afrika, Congo ,Burundi, Rwanda, pamoja na kiwanda cha LPG, hii itamuahi Mozambique maana Mozambique ana kiwanda tayari cha LPG pale Palmas ila hajapata akili ya kusambaza kwa waafrika wenzie, gas inaripa ukisambaza kwa jirani zako angalia Urusi na Qatara wanavyofanikiwa. 6. Tanzania iwekeze SGR kwenda Burundi, Rwanda na Congo tu, hao ndio wateja walio kiganjani kwetu, Uganda tumuachie Kenya, Malawi tumuachie Mozambique sio kutaka kila nchi uchukue wewe hiyo sio Uafrika. 7. Tujenge uchumi wa Tanzania na miundombinu yake, kwa ajili ya Tanzania na watu wake, si kwa ajili ya kuipata nchi fulani, maana biashara hubadilika, lakini ustawi wa nchi ubaki pale pale, kwahiyo Mozambique kuipa bandari Malawi huo ndio Uafrika, Tanzania haitaji kujitukana na kujilaumu.
Laana za WatanzaniaMama ana gundu na hao DPP world sijui inakuwaje kuwaje 🤣🤣🤣
TRA ni jipu lisilokamulika,jamaa wapo kizamani sanaKilichokua kinatakiwa ni kujenga miundombinu ya bara bara na kupunguza kodi ya truck tractors ili watu wawe na trucks za kutosha kwa kupeleka mizigo huko sasa wenzetu TRA wanadhani wanawakomoa Watanzania kwa kuweka kodi kubwa huku wenye mizigo wakiona gharama kubwa ya usafiri na kuchelewa wanaona watumie watu wao au kuhama Bandari...
Na hawataki mawazo mbadala wanajiamini na uzamani wao.TRA ni jipu lisilokamulika,jamaa wapo kizamani sana
nuksi ipi?we hizo ngonjera unaziamini?Ina maana hata hao DPP WORLD wameingia cha kike? 😃😃😃😃
Huu utawala wa huyu Mama una nuksi mno
hii ngonjera tuUmefuatilia na kuijua mipango ya DRC? Kwa DRC punde tu tutayasikia maumivu mengine.
Hili la Zambia nitashangaa kama Serikali italiona limekuja as a surprise sababu Zambia baada ya kuona hatusomeki walianza project kubwa ya barabara wakishirikiana na Mozambique. Barabara hiyo ilikuwa inaiunganisha nchi yao na Mozambique.
Kwa viherehere vyetu tuliiona hiyo threat tukajitahidi kuistua serikali kuhusu projects zinazoendelea Zambia na Congo DRC na Mozambique tukaambiwa “serikali ipo macho na ipo imara” na zaidi “kuna mambo mengi mazuri hatuyajui”, tukasema inshallah, hii yote ni sababu we are no bodies
Mama Samia huo uwezo wa kuwaza hivyo hana,kamkumbatia Kagame na anamuogopa haswa,aliacha kwenda kwenye uapisho wa Tshisekedi lakini juzi kwa Kagame alikwenda haraka sana,kapeleka kule jeshi lakini sidhani kama yeye analipa sapoti yoyote,ni kama linasukumwa tu na CDFTutakuja kushituka hizo Bandari zimesalia kuhudumia Mikoa yetu pekee,washindani Wetu wamechukua keki.
Lazima tuingie kufanya mambo ya umafia Kwa maslahi ya Nchi
Samia ndio anatakiwa kuwaza badala ya Wizara husika? Acha kuwa mjinga ,huo ni wajibu wa wataalamu wa Wizara za Ujenzi,uchukuzi, Usafirishaji na biasharaMama Samia huo uwezo wa kuwaza hivyo hana,kamkumbatia Kagame na anamuogopa haswa,aliacha kwenda kwenye uapisho wa Tshisekedi lakini juzi kwa Kagame alikwenda haraka sana,kapeleka kule jeshi lakini sidhani kama yeye analipa sapoti yoyote,ni kama linasukumwa tu na CDF
Sawahii ngonjera tu
Ngonjera au siyo? Mda utasema.Tutafika mahala Bandari zetu zitakuwa zinategemea zaidi mzigo wa ndani ya Nchi zaidi kuliko wa Nje ya Nchi kama ilivyo Sasa hivi.hii ngonjera tu
Kwanza hiyo ni mipango tu ya serikali za kiafrika na hela zao za kuunga unga. Uongozi ukibadilika kwenye nchi moja tu, mipango yote kwishney. Pesa yenyewe ya kujengea reli hawaipati leo wala kesho.Hao Malawi na Zambia ni masikini sana, tusipoteze muda shindana nao.
Sisi tuondoe umazoea