Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.

Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.

Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.

Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.

Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.

Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.
View attachment 3080432

Pia soma: Bandari za Dar na Mtwara Kuwa Mashakani Kutokana na Nchi za Zambia,Malawi na Mozambique Kuzindua Upanuzi Mkubwa wa Miundombinu ya Nacala Port.

Kwa maelezo zaidi soma hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi

Ushauri,;

Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.

Serikali ifanye yafuatayo
1.Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.

2.Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC(Bukavu,Goma,Kinshasa,Kindu)

3.Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.

4.Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma

5.Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa

6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.

My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya,Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.

Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda,South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.

Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.
View attachment 3080431
Wawaondoe magaidi kwanza. Tuna muda wa kujipanga.
 
Uko na maarifa mingi ndugu mnaitajika
 
Suala la Bandari ya Nacaram Msumbiji na Lobito Angola ni wazo la siku nyingi la hao watu.

Bahati mbaya sana wametukuta tunachelewa kufikiria na tunafikiri na kila mtu anachelewa kufikiria kama sisi.

Kuna kitu kinaitwa Blackmailing, blackmailing hutumika pia kwenye uchumi kwenye dunia ya kimafia na kibepari.
Tungekuwa tunawahi kufikiria basi tungeshafanya blackmailing kwenye mataifa mengi ya kusini na africa mashariki upande wa LOGISTIC NA ENERGY - na hela yake ingetosha kabisa kuendesha uchumi wa hii nchi.

Unapozungumzia LOGISTIC, unaziweka Bandari tatu kama main hub, unaziunganisha hizi bandari na Bandari kavu kwenye kila border yetu, pale tunduma unaweka Dry port kubwa na mizigo yote ya kusini Destination inakuwa Tunduma dry port. Reli kutoka Mtwara port via Songea inaunga pale Makambako, unaipeleka Tunduma.
Unajenga Dry port kuubwa pale Isaka kahama kuhudumia Rwanda, Burundi na baadhi ya maeneo ya DRC kutokea ISAKA na mizigo yao yote destination inakuwa pale Isaka.
Unajenga Dry port pale Mwanza karibu ya Ziwa Victoria kuhudumia baadhi ya maeneo ya Uganda na hata Kenya nk
Serikali ihakikishe inakuwa na shipping line ya Meli za uhakika za mizigo lake Tanganyika na lake Victoria kuhudia maeneo ya Uganda na DRC kwa kuyaconnect na hizi Dry port.
Kuwe na shipping line baharini Kwa ajili ya mizigo kuanganisha Bandari zote tatu.

Kuifanya hayo yote hapo juu unapunguza gharama za ushuru ukilenga kuongeza volume na cost unazicover volume ikiwa kubwa.

Kwenye upande wa Gas na Maji, kupitia hydro plants na Gas plants tungeweza kuzarisha umeme mwingiiii na kuuza Kwa gharama nafuu Kwa majirani wote hawa kuanzia kusini, mashariki mpaka magharibi, tungewalemaza Kwa kuwauzia umeme Kwa gharama ndoogo kabisa kiasi kwamba wasingefikiria tena kuzarisha umeme wao ilihali upo umeme wa gharama nafuu kutokea Tanzania.

Hivyo vyote tungekuwa tumefanya tungekuwa tumeshawablackmail majirani woote wa ukanda huu na Taifa hili lingekuwa economic giant wa Africa.
 
Hiyo Nacala(Nashala) kasikazini ya msumbiji kuna miji ya Mpemba na Palmas hayo maeneo yana reli inayotoka Nashala hadi Nampula kwahiyo kwenda Malawi ni kuongezea tu kutoka Nampula hadi Bulawayo/Lilongwe huko Malawi. Hii imekaa vizuri kwa Malawi/ Zambia na ni Mbaya kwa Tanzania. Changamoto. 1. Msumbiji ina waasi wa IS wameenea kasikazini ya nchi katika maeneo hayo ya Palmas, Pemba, Nashala, Montpuez, na na Nampula kiuslama ni changamoto kwa mradi. 2. Msumbiji ina changamoto z kiusalama katika eneo lake na mpaka na Malawi jimbo la NIASA ambapo reli inapita, kuna Waasi wa RENAMO kiongozi wao Dracama, wanaopingana na FRELIMO. 3. Mizigo mingi kwa nchi za Afrika inatoka Bahari ya Hindi China, India, Japan sasa ili meli ifike bandari ya Nacala lazima ipite Afrika mashariki kijiografia (Mombasa na Dar Es Salaam) kwahiyo Tanzania ina nafasi kibiashara. 4. Mozambique na Malawi ni maskini hasa, na ni wavivu wa kufanya lobbying za kutafuta na kufanya miradi mikubwa kwahiyo mpaka mradi ufike Zambia labda ni 2050 ambapo sisi tutakua hatua nyingine. 5. Tanzania itengeneze bomba la gas ya LPG, liende Malawi, Zambia, Zimbabwe, Botswana, South Afrika, Congo ,Burundi, Rwanda, pamoja na kiwanda cha LPG, hii itamuahi Mozambique maana Mozambique ana kiwanda tayari cha LPG pale Palmas ila hajapata akili ya kusambaza kwa waafrika wenzie, gas inaripa ukisambaza kwa jirani zako angalia Urusi na Qatara wanavyofanikiwa. 6. Tanzania iwekeze SGR kwenda Burundi, Rwanda na Congo tu, hao ndio wateja walio kiganjani kwetu, Uganda tumuachie Kenya, Malawi tumuachie Mozambique sio kutaka kila nchi uchukue wewe hiyo sio Uafrika. 7. Tujenge uchumi wa Tanzania na miundombinu yake, kwa ajili ya Tanzania na watu wake, si kwa ajili ya kuipata nchi fulani, maana biashara hubadilika, lakini ustawi wa nchi ubaki pale pale, kwahiyo Mozambique kuipa bandari Malawi huo ndio Uafrika, Tanzania haitaji kujitukana na kujilaumu.
 
Kuna Banana Deep sea port inajengwa DRC na DP world kuongeza volume ya mizigo hapo DRC

Japo ni linchi likubwa na maeneo mengi kijografia hayafikiki ila zipo Cargo planes nyingi zinaoperate DRC, maana yake tunakwenda pia kupoteza kiasi fulani cha mizigo ya DRC.
 
Tatizo la Viongozi wetu mda mwingi wamewekeza kwenye siasa kila kitu,kuwaruhusu watu wenye akili ndogo ndiyo wabebe maono ya inchi hii yaani chawa, huku wakiwaacha wenye akili kubwa ilimradi tu wanapingana nao kisiasa
Tena siasa uchwara na nyepesi
 
Tanzania bado itabaki kuwa njia salama zaidi katika maswala ya Bandari kutokana na hali za kiusalama
 
Hiyo Nacala(Nashala) kasikazini ya msumbiji kuna miji ya Mpemba na Palmas hayo maeneo yana reli inayotoka Nashala hadi Nampula kwahiyo kwenda Malawi ni kuongezea tu kutoka Nampula hadi Bulawayo/Lilongwe huko Malawi. Hii imekaa vizuri kwa Malawi/ Zambia na ni Mbaya kwa Tanzania. Changamoto. 1. Msumbiji ina waasi wa IS wameenea kasikazini ya nchi katika maeneo hayo ya Palmas, Pemba, Nashala, Montpuez, na na Nampula kiuslama ni changamoto kwa mradi. 2. Msumbiji ina changamoto z kiusalama katika eneo lake na mpaka na Malawi jimbo la NIASA ambapo reli inapita, kuna Waasi wa RENAMO kiongozi wao Dracama, wanaopingana na FRELIMO. 3. Mizigo mingi kwa nchi za Afrika inatoka Bahari ya Hindi China, India, Japan sasa ili meli ifike bandari ya Nacala lazima ipite Afrika mashariki kijiografia (Mombasa na Dar Es Salaam) kwahiyo Tanzania ina nafasi kibiashara. 4. Mozambique na Malawi ni maskini hasa, na ni wavivu wa kufanya lobbying za kutafuta na kufanya miradi mikubwa kwahiyo mpaka mradi ufike Zambia labda ni 2050 ambapo sisi tutakua hatua nyingine. 5. Tanzania itengeneze bomba la gas ya LPG, liende Malawi, Zambia, Zimbabwe, Botswana, South Afrika, Congo ,Burundi, Rwanda, pamoja na kiwanda cha LPG, hii itamuahi Mozambique maana Mozambique ana kiwanda tayari cha LPG pale Palmas ila hajapata akili ya kusambaza kwa waafrika wenzie, gas inaripa ukisambaza kwa jirani zako angalia Urusi na Qatara wanavyofanikiwa. 6. Tanzania iwekeze SGR kwenda Burundi, Rwanda na Congo tu, hao ndio wateja walio kiganjani kwetu, Uganda tumuachie Kenya, Malawi tumuachie Mozambique sio kutaka kila nchi uchukue wewe hiyo sio Uafrika. 7. Tujenge uchumi wa Tanzania na miundombinu yake, kwa ajili ya Tanzania na watu wake, si kwa ajili ya kuipata nchi fulani, maana biashara hubadilika, lakini ustawi wa nchi ubaki pale pale, kwahiyo Mozambique kuipa bandari Malawi huo ndio Uafrika, Tanzania haitaji kujitukana na kujilaumu.
Unajua mtu unapoiongelea inchi ya watu lazima uwe na uhakika wa unachokiongea, RENAMO ni chama pendwa Mozambique kama ilivyo Chadema Tanzania sababu wao wako kwa ajili ya kuwatetea wananchi dhidi ya zuruma za selikari
Na kimepoteza nguvu baada ya Alfonso dhalakama kufa,selikari imepenyeza rupia hawana nguvu kivile,ingawa bado wanaushawishi kwenye miji mikubwa kama Maputo na Nampula
Magaidi hawa wa Cabdelgado no Pemba walioko kaskazini hawa ndiyo adui wa Mozambique,na ni Watanzania kwa asilimia kubwa ndiyo wanaofanya uharibifu lakini wanasaport kutoka kwa baadhi ya viongozi wa selikali
 
Kilichokua kinatakiwa ni kujenga miundombinu ya bara bara na kupunguza kodi ya truck tractors ili watu wawe na trucks za kutosha kwa kupeleka mizigo huko sasa wenzetu TRA wanadhani wanawakomoa Watanzania kwa kuweka kodi kubwa huku wenye mizigo wakiona gharama kubwa ya usafiri na kuchelewa wanaona watumie watu wao au kuhama Bandari...
TRA ni jipu lisilokamulika,jamaa wapo kizamani sana
 
Umefuatilia na kuijua mipango ya DRC? Kwa DRC punde tu tutayasikia maumivu mengine.
Hili la Zambia nitashangaa kama Serikali italiona limekuja as a surprise sababu Zambia baada ya kuona hatusomeki walianza project kubwa ya barabara wakishirikiana na Mozambique. Barabara hiyo ilikuwa inaiunganisha nchi yao na Mozambique.
Kwa viherehere vyetu tuliiona hiyo threat tukajitahidi kuistua serikali kuhusu projects zinazoendelea Zambia na Congo DRC na Mozambique tukaambiwa “serikali ipo macho na ipo imara” na zaidi “kuna mambo mengi mazuri hatuyajui”, tukasema inshallah, hii yote ni sababu we are no bodies
hii ngonjera tu
 
Tutakuja kushituka hizo Bandari zimesalia kuhudumia Mikoa yetu pekee,washindani Wetu wamechukua keki.

Lazima tuingie kufanya mambo ya umafia Kwa maslahi ya Nchi
Mama Samia huo uwezo wa kuwaza hivyo hana,kamkumbatia Kagame na anamuogopa haswa,aliacha kwenda kwenye uapisho wa Tshisekedi lakini juzi kwa Kagame alikwenda haraka sana,kapeleka kule jeshi lakini sidhani kama yeye analipa sapoti yoyote,ni kama linasukumwa tu na CDF
 
Samia ndio anatakiwa kuwaza badala ya Wizara husika? Acha kuwa mjinga ,huo ni wajibu wa wataalamu wa Wizara za Ujenzi,uchukuzi, Usafirishaji na biashara
 
Hao Malawi na Zambia ni masikini sana, tusipoteze muda shindana nao.
Sisi tuondoe umazoea
Kwanza hiyo ni mipango tu ya serikali za kiafrika na hela zao za kuunga unga. Uongozi ukibadilika kwenye nchi moja tu, mipango yote kwishney. Pesa yenyewe ya kujengea reli hawaipati leo wala kesho.
 
Back
Top Bottom