Msumbiji: Zaidi ya Watu 90 wadaiwa kufariki baada ya Kivuko kikichokuwa na Watu 130 kuzama eneo la Nampula

Msumbiji: Zaidi ya Watu 90 wadaiwa kufariki baada ya Kivuko kikichokuwa na Watu 130 kuzama eneo la Nampula

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Screenshot_2024-04-08-09-01-23-954_com.brave.browser_beta-edit.jpg

MSUMBIJI: Mitandao ya BBC na Reuters imeripoti kuwa zaidi ya Watu 90 wamefariki katika ajali ya Kivuko kinachodaiwa kilikuwa na takriban Watu 130 jirani na jimbo la Nampula, huku Watu 5 wakiokolewa

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa eneo hilo, imeeleza kuwa miongoni mwa waliopoteza maisha ni Watoto na chanzo cha ajali kimetokana na uzito kuzidi kwenye Kivuko, hali iliyosababisha kuzama.

======

April 8 (Reuters) - More than 90 people died after a ferry sank off the north coast of Mozambique, the BBC said, citing domestic authorities, with five rescued from among the nearly 130 believed to have been on board.

They were fleeing a cholera outbreak, the British Broadcasting Corp (BBC) said on Sunday, citing Jaime Neto, secretary of state for the province of Nampula near the incident site.

"Because the boat was overcrowded and unsuited to carry passengers, it ended up sinking," he said, adding that many children were among the dead.
Videos posted on social media X showed many bodies lying on a beach and some people carrying the bodies of children.

investigators were working to find out the cause of the boat disaster, The Guardian reported citing AFP.
Two of the five survivors were receiving medical treatment, the report said.

Government officials did not immediately respond to Reuters requests for comment.

The boat was travelling from Lunga in the province to Mozambique island, off the coast of Nampula, the BBC added.

REUTERS
 
Moja ya jambo linaumiza na kuhuzunisha sana ni kifo aseeee!
 
Back
Top Bottom