Msusi ananuka...

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,526
Reaction score
3,341
Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.

Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani nilitamani nimwambie dada kabadilishe ila ilinibidi pia niwemvumilivu.

Maana nautaka urembo.
 

Atakua ni wale wanaonuka panya.
Ila angekua ni mmasai kakuweka kwenye mapaja yke huku kende zikionekana usingeleta stori uku.
 


Hiyo mitindo ya kusukana hadi kusikia harufu ya chupi?
 
Ha ha ha kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! Miye huwa naghairi kusuka kisa cha kupata mafua ni nini??
 
a.rahabu utakuta umemdamkia msusi wa watu asubuhi asubuhii hata hajaoga na kunawa vizurii utoko wakee!!hahaha
 
uuuuwi sikia tu kwa wenzio kusuka kwataka moyo kuna wanaovuta.....kutana na wamasai wana harufu fulani na inazidi wakiwa wengi kama ulitaka wakusuke kwa haraka sangita zako
 
Mi nashindwa kuelewa.

Yule ni mwanamke mwenzio.

Umechukua hatua gani za kumuelimisha kuhusu usafi wake wa ndani badala ya kuja kumuanika humu.

Mimi nina dada yangu, hatoi harufu but hana uwezo wa kusikia harufu.

So am imagining labda hajijui kama ana harufu na ungeweza kumsaidia.

Afadhali ungeuliza namna ya kumueleza kuhusu hali hiyo kuliko kuja kumsema in such a way that disgusts people and does not help things.

Women please!
 
mkuhu siho vizuri hungemuhambiha sasa hunakuja kumsema humu hungemuhambiha siho vizuri kabisa mkuhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…