Msusi ananuka...

Msusi ananuka...

mkuhu siho vizuri hungemuhambiha sasa hunakuja kumsema humu hungemuhambiha siho vizuri kabisa mkuhu.
wewe inaonyesha unaandika huku umeziba pua na mdomo , kuogopa harufu ya msusi.
 
Ha ha ha kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! Miye huwa naghairi kusuka kisa cha kupata mafua ni nini??

kwa wale tunaopanda daladala hiyo ni kawaida,umekaa kiti cha koridoni halafu abiria wa kusimama ndo anatoa ile mbaya hadi unaishiwa pumzi!
 
Angekusuka huku amesimama mi siwez vumilia arooo
 
Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.

Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani nilitamani nimwambie dada kabadilishe ila ilinibidi pia niwemvumilivu.

Maana nautaka urembo.

hivi wewe ukinuka unajijuaje?
 
Mi nashindwa kuelewa.

Yule ni mwanamke mwenzio.

Umechukua hatua gani za kumuelimisha kuhusu usafi wake wa ndani badala ya kuja kumuanika humu.

Mimi nina dada yangu, hatoi harufu but hana uwezo wa kusikia harufu.

So am imagining labda hajijui kama ana harufu na ungeweza kumsaidia.

Afadhali ungeuliza namna ya kumueleza kuhusu hali hiyo kuliko kuja kumsema in such a way that disgusts people and does not help things.

Women please!

Kuna vitu vya kuelezwa my dear. Vingine vinataka ujasiri. Ivi ww leo akatokea mtu na kukwambia unanuka mdomo utajisikiaje??

Kwakua ajatajwa aina shida. Bora kaleta na uku wengine wajifunze.

Watu wengine wana asili ya uchafu ata umfunze vp abadiliki. Mm mwenyewe ishanikuta na nilipiga kimya ila sikurudi tena pale.
 
Kusuka kuna madhila hasa!
Ungemwambia tu mamy kama maskhara ili ajifunze kujiswafi.
Wengine hawajui kujisafisha na hapendi hiyo hali ila hajui afanyaje na kusuka hawezi kuacha labda ndio unampa rizki mjini.....
 
m2 mwenyewe mzaramo nimwambie anisute na kigoma
 
Kuna vitu vya kuelezwa my dear. Vingine vinataka ujasiri. Ivi ww leo akatokea mtu na kukwambia unanuka mdomo utajisikiaje??

Kwakua ajatajwa aina shida. Bora kaleta na uku wengine wajifunze.

Watu wengine wana asili ya uchafu ata umfunze vp abadiliki. Mm mwenyewe ishanikuta na nilipiga kimya ila sikurudi tena pale.

kweli umenena mamy sio kila ki2 cha kumwambia m2
 
hivi wewe ukinuka unajijuaje?[/QUOTE

ukiona m2 ananuka hadi anajisikia ujue amekubuhu kwa uchafu.na hakuna asiye nuka ila usaf unahitajika hasa kwa mwanamke.
 
Mi nashindwa kuelewa.

Yule ni mwanamke mwenzio.

Umechukua hatua gani za kumuelimisha kuhusu usafi wake wa ndani badala ya kuja kumuanika humu.

Mimi nina dada yangu, hatoi harufu but hana uwezo wa kusikia harufu.

So am imagining labda hajijui kama ana harufu na ungeweza kumsaidia.

Afadhali ungeuliza namna ya kumueleza kuhusu hali hiyo kuliko kuja kumsema in such a way that disgusts people and does not help things.

Women please!

you have said girl, mwambie uyo
 
Kuna vitu vya kuelezwa my dear. Vingine vinataka ujasiri. Ivi ww leo akatokea mtu na kukwambia unanuka mdomo utajisikiaje??

Kwakua ajatajwa aina shida. Bora kaleta na uku wengine wajifunze.

Watu wengine wana asili ya uchafu ata umfunze vp abadiliki. Mm mwenyewe ishanikuta na nilipiga kimya ila sikurudi tena pale.

bora kumwambia ata akijibu vibaya, kwa iyo apa atakua amebadilika?
 
we Bulldog unataka kujua kuhusu utoko asubuhi ukimaka na mkeo/mpenzio kabla hajaenda kuoga au kunawa tia kidole kwenye papuch yake kile utakacho toka nacho huko ndo utoko
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom