wewe inaonyesha unaandika huku umeziba pua na mdomo , kuogopa harufu ya msusi.mkuhu siho vizuri hungemuhambiha sasa hunakuja kumsema humu hungemuhambiha siho vizuri kabisa mkuhu.
Ha ha ha kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! Miye huwa naghairi kusuka kisa cha kupata mafua ni nini??
mkuhu siho vizuri hungemuhambiha sasa hunakuja kumsema humu hungemuhambiha siho vizuri kabisa mkuhu.
Atakua ni wale wanaonuka panya.
Ila angekua ni mmasai kakuweka kwenye mapaja yke huku kende zikionekana usingeleta stori uku.

Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.
Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani nilitamani nimwambie dada kabadilishe ila ilinibidi pia niwemvumilivu.
Maana nautaka urembo.
Mi nashindwa kuelewa.
Yule ni mwanamke mwenzio.
Umechukua hatua gani za kumuelimisha kuhusu usafi wake wa ndani badala ya kuja kumuanika humu.
Mimi nina dada yangu, hatoi harufu but hana uwezo wa kusikia harufu.
So am imagining labda hajijui kama ana harufu na ungeweza kumsaidia.
Afadhali ungeuliza namna ya kumueleza kuhusu hali hiyo kuliko kuja kumsema in such a way that disgusts people and does not help things.
Women please!
Kuna vitu vya kuelezwa my dear. Vingine vinataka ujasiri. Ivi ww leo akatokea mtu na kukwambia unanuka mdomo utajisikiaje??
Kwakua ajatajwa aina shida. Bora kaleta na uku wengine wajifunze.
Watu wengine wana asili ya uchafu ata umfunze vp abadiliki. Mm mwenyewe ishanikuta na nilipiga kimya ila sikurudi tena pale.
a.rahabu utakuta umemdamkia msusi wa watu asubuhi asubuhii hata hajaoga na kunawa vizurii utoko wakee!!hahaha