Msusi ananuka...

Kwa hyo hapo saivi kichwani unatembeaje kilimanjaro si haikumaliziwa?
 
Uzi kama huu uliletwa majuzi...pole sana uwe unaenda na gas mask.
 
Dah nmemuonea huyo sisteri huruma kweli.. ungemwambia ingemsaidia..unaweza kukuta ana vaginitis na sio kushidwa kuoga..au kujisafisha..
 
Dah nmemuonea huyo sisteri huruma kweli.. ungemwambia ingemsaidia..unaweza kukuta ana vaginitis na sio kushidwa kuoga..au kusafisha
 
Dah nmemuonea huyo sisteri huruma kweli.. ungemwambia ingemsaidia..unaweza kukuta ana vaginitis na sio kushidwa kuoga..au kusafisha

Kumwambia mtu issue km hyo ngumu sana mkuu...hata uwe kauzu vp
 
🤣🤣🤣
 
Dah nmemuonea huyo sisteri huruma kweli.. ungemwambia ingemsaidia..unaweza kukuta ana vaginitis na sio kushidwa kuoga..au kusafisha
Umenikumbusha shule kabisa ya Trichomonas, haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…