Msuva afanya kufuru michuano ya CAF apiga hatrick na kutoa assist 6

ASIBWETEKE, AKAZE, TUMWONE JAPO LEAGUE YA UFARANSA au EPL.

MAANA LALIGA HAPATI NAMBA
 
10-0 ni kikapu au? haha walikutana na kibonde cha haja.
 
ASIBWETEKE, AKAZE, TUMWONE JAPO LEAGUE YA UFARANSA au EPL.

MAANA LALIGA HAPATI NAMBA
Dirisha lililopita wachezaji wengi wa ligi ya morocco walisajiliwa na timu za kiwango cha kawaida huko la liga

Akikaza naamini ligui 1 tutamuona sababu wengi husajiliwa huko au la liga
 
go Msuva go........
 
Back
Top Bottom