Msuva aibuka shujaa huko Morocco

uko sahihi ila ujaelewa nimesema kuna mbinu mbalimbali wanazo tumia waarabu ndani na nje ya uwanja. nimekupa mifano ya nje ya uwanja wanayo yafanya kutu dhoofisha.

Hakuna sababu moja inayofanya tushindwe na waarabu ukiachana na maandalizi mabovu (unayo taka wewe kuniaminisha ndo sababu pekee ya sisi kushindwa) zipo sababu nyiñgine za nje ya uwanja.
 
Mpira huchezwa ndani ya uwanja mbinu hutamalaki na uelewa wa mifumo,ujuzi nk

Kama hujui hujui tu ,mbinu za nje ya uwanja kama yapi ?

1)ukisema kupuliza madawa ni hoja ya kipuuzi na mfu na utachekwa kama sio kuwashangaza watu kwenye kadamnasi ya watu...tuseme wapulizie dawa wachezaji wawe wachovu uongozi wa timu itatoa taarifa na wachunguzi wakija kama kweli ikibainika hio timu itafungiwa maisha ,watapigwa fine na kunyanganywa ushindi ..nani anaweza kufanya risk hii? Hakuna kitu kama hichi

2)mbinu gani nje ya uwanja itufanye tushindwe labda marefa kuhongwa hii nayo sio sababu

Timu zetu hazijui kutumia viwanja vya nyumbani na timu za Africa kaskazini wanajua kutumia viwanja vya nyumbani basi na kwa mtindo huu watafanikiwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…