zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
uko sahihi ila ujaelewa nimesema kuna mbinu mbalimbali wanazo tumia waarabu ndani na nje ya uwanja. nimekupa mifano ya nje ya uwanja wanayo yafanya kutu dhoofisha.Dah nimecheka sana aise...yani usithubutu kuongea haya maneno yako ya kupuliziwa dawa kadamnasi...yani watakucheka sana at end of the day watakupuuza. Sisi na mpira wapi na wapi, kwani ndio first time kufungwa??? Mbona Nigeria walipigwa nyingi tu na hao hao Morroco mbona hukusema nao walipuliziwa dawa!!! Mtu anaejuwa mpira hawezi kuongea haya maneno kiongozi....kuna wengine walijitoa ufahamu miaka ya nyuma eti mechi ya France na Brazil 1998...wakaja na maneno kama yako tukawapuuuza tu. So kama hujui mpira kiongozi ni heri ukae kimya ili usiendelee kuaibika. Ni ombi tu wala usinihisi vibaya.
Hakuna sababu moja inayofanya tushindwe na waarabu ukiachana na maandalizi mabovu (unayo taka wewe kuniaminisha ndo sababu pekee ya sisi kushindwa) zipo sababu nyiñgine za nje ya uwanja.