Msuva aing'arisha Wydad Casablanca CAF Champions league, yafuzu makundi

Msuva aing'arisha Wydad Casablanca CAF Champions league, yafuzu makundi

Kabisa mkuu. Kupiga cross ni wajibu wa mchezaji ambaye amepangwa kwenye nafasi husika na kuzaa goli ni suala lingine ambalo hutegemea ushapu wa mfungaji mwenye njaa ya goli!
Rudi milembe tafadhali wewe unaweza piga cross sasa hivi?
 
Lakini hajawahi kucheza timu ambayo haichezi caf champions league group stage.
Sasa sijui hao unawowaelewa wana mafanikio gani kisoka hapa nchini

Hahahaa
 
Kwa hiyo hiyo cross moja ndio kaifanya timu yake ifuzu? Na ing'are?
..
Hebu ongeza kidogo mchango wa Mtanzania mwenzetu katika hilo!
..
NB: Sina tatizo na Msuva
Ni mchango mkubwa ktk ushindi wa Wydad, ni kama Miquissone ambavyo hakufunga goli lolote ktk mechi round za awali akiwa na Simba lakn shughuli yake ndani ya pitch ni USIPIMEE
 
06 January 2021
Complexe Muhammed V Stadium
Casablanca, Morocco

Wydad Athletic Club(WIDAD) vs Stade Malien



Source: HERo
 
Back
Top Bottom