Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kweli.Hana hadhi ya kucheza simba
Simba hii hii ya kina Sawadogo na Kibu Denis?Hana hadhi ya kucheza simba
Na anaijuwa vizuri falsafa ya Yanga, na kwenye mechi za kimataifa ni mtu sahihi na pia ni mfungaji mzuri.Namkubali sana Simon Happygod Msuva. Ni mchezaji anayejituma sana awapo uwanjani.
Unajuwa Msuva anacheza namba ngapi?Ila tuwe wakweli jamaa anabahatisha sana
Tusubr jibu lake😁😁Unajuwa Msuva anacheza namba ngapi?
Sijui na sitaki jua ila kupitia taifa stars tu naona ni wa kawaida mnoUnajuwa Msuva anacheza namba ngapi?
Kama kubahatisha ni rahisi jaribu na wewe tuoneIla tuwe wakweli jamaa anabahatisha sana
Combination ya mayele na msuva timu yoyote Africa itaangukaNa anaijuwa vizuri falsafa ya Yanga, na kwenye mechi za kimataifa ni mtu sahihi na pia ni mfungaji mzuri.
Huyu kama anarudi Nyumbani sehemu anayostahili ni Yanga akamsaidie Mayele kutumia.
Basi hujui kitu, Giant wa kiarabu Africa huwa hawasajiri mchezaji black wa hovyo hovyo.Sijui na sitaki jua ila kupitia taifa stars tu naona ni wa kawaida mno
Na kweli huko atapotea kwani simba haujulikani msimu ujao itakuwa dhaifu kiasi ganiHana hadhi ya kucheza simba
Mna hela ya kumrudisha?Na anaijuwa vizuri falsafa ya Yanga, na kwenye mechi za kimataifa ni mtu sahihi na pia ni mfungaji mzuri.
Huyu kama anarudi Nyumbani sehemu anayostahili ni Yanga akamsaidie Mayele kutumia.
Msuva ni mchezaji mzuri sana sema hana bahati na timu yake ya sasa hakuwa na msimu mzuriIla tuwe wakweli jamaa anabahatisha sana
Ligi isha isha wamemaliza wa 11 hio mbioni inatoka wapiMsuva ni mchezaji mzuri sana sema hana bahati na timu yake ya sasa hakuwa na msimu mzuri
Na timu yake ipo mbioni kushuka daraja