Msuva Awaita mezani Simba, Yanga na Azam

Msuva Awaita mezani Simba, Yanga na Azam

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Msuva: ”Naweza kucheza team yoyote iwe Simba SC au hata Azam FC kwasababu nilishacheza pale. Lakini nafasi kubwa nawapa Yanga Africa " Simon Msuva via #eSport

B8158825-F3E1-47E1-A6C6-621B8AC43041.jpeg
 
Na anaijuwa vizuri falsafa ya Yanga, na kwenye mechi za kimataifa ni mtu sahihi na pia ni mfungaji mzuri.

Huyu kama anarudi Nyumbani sehemu anayostahili ni Yanga akamsaidie Mayele kutumia.
Mna hela ya kumrudisha?

Usifikiri akija pale Gongowazi mtegemee kumpa madau yenu ya kina Azizi Ki ambao ndio wanaosemekana wanapokea mshahara mkubwa wakati market value yao ni 150€
 
Ila tuwe wakweli jamaa anabahatisha sana
Msuva ni mchezaji mzuri sana sema hana bahati na timu yake ya sasa hakuwa na msimu mzuri

Na timu yake ipo mbioni kushuka daraja
 
Msuva ni mchezaji mzuri sana sema hana bahati na timu yake ya sasa hakuwa na msimu mzuri

Na timu yake ipo mbioni kushuka daraja
Ligi isha isha wamemaliza wa 11 hio mbioni inatoka wapi
 
Back
Top Bottom