Msuva hana muda mrefu atarejea Nyumbani

Atafiti tu akijituma na kumtanguliza Mungu.
 
Naamini kitu kama hicho pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani amemtakia mabaya kwa kusema anachoona kinaenda kutokea? Au kwa kusema tu ndio kweli lazima kitokee?
Unavyowaza ndivyo unavyosema. Unavyosema ndivyo unavyofanya. Unavyofanya ndivyo inavyokuwa. Inavyokuwa ndivyo unavyokuwa.
 
Hii ndio Tanzania yangu tunapenda sana kuona mtu akifeli katika mambo yake,,kwanini usingelimwombea afanikiwe,,ili awe msahada kwa familia yake na jamii kwa ujumla..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elezea kiufundi, unadhani yy hiyo timu imemuona kupitia mashindano ya cosafa? Jifunze kuwaombea wenzako mafanikio.
Kwa aina ya Tabia ya SIMON HAPPYGOD MSUVA ni mchezaji anayejituma saana.akiendelea na Tabia hiyo atapata mafanikio saana.
Angekuwa na moyo wa kukata tamaa na tamaa asingedumu Yanga maana mashabiki na wapenzi wa Yanga wanatabia ya kutaka ushindi daima matokeo tofauti kwao lawama ni kwa wachezaji, na mmoja wa wachezaji waliokuwa wakipewa lawama ni MSUVA.
Lkn pia hata pongezi zinapotolewa timu ikifanya vzr bado miongoni mwa wachezaji waliokuwa wanapewa sifa naye ni miongoni Mwao. Mara tatu mfululizo ubingwa wa Yanga kwenye VPL MSUVA kawa kinara wa mabao Mara 2 hongera kwako MSUVA.maisha mbele kwa mbele
 
Nautunza huu uzi hadi desemba cha muhimu kuomba uzima
 
Unashangaa Msuva kutofanya vizuri kwenye mashindano ya COSAFA wakati kuna manguli wa soka wanaoabudiwa humu duniani wameshuhudia timu zao za taifa zikila vichapo vitakatifu tena wengine wakiwa wamevaa vitambaa vya unahodha?
 
Msuva hakuna mchezaji haoo

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…