Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtabiri wa Afrika mashariki na kati. Vip wewe umejitabiria kurudi kijijini kwenu au unamtabiri Msuva27 tu?Tumwombee asonge mbele.
Naamini kitu kama hicho piaWakuu huu ni ukweli na ukweli lazma usemwe, Winga machachari wa Yanga na Taifa Stars anakwea pipa kwenda kucheza soka huko nchini Morocco. Sioni ni jinsi gani Msuva anaweza akumudu kumaliza miezi 6 nje ya Tanzania, kwa style yake ya soka na nilivyomshuhudia kwenye michuano ya Cosafa ni wazi kuwa, dirisha dogo la usajili lijalo Msuva atakuwa amerudi zake Bongo tayari kabisa kumwaga wino wake wa kuendelea kukipiga aidha Yanga au Simba.
Najua povu litawatoka ila huo ndio ukweli na mimi ni mjumbe na siku zote mjumbe hauwawi.
Nawasilisha...
Unavyowaza ndivyo unavyosema. Unavyosema ndivyo unavyofanya. Unavyofanya ndivyo inavyokuwa. Inavyokuwa ndivyo unavyokuwa.Kwani amemtakia mabaya kwa kusema anachoona kinaenda kutokea? Au kwa kusema tu ndio kweli lazima kitokee?
Hii ndio Tanzania yangu tunapenda sana kuona mtu akifeli katika mambo yake,,kwanini usingelimwombea afanikiwe,,ili awe msahada kwa familia yake na jamii kwa ujumla..Wakuu huu ni ukweli na ukweli lazma usemwe, Winga machachari wa Yanga na Taifa Stars anakwea pipa kwenda kucheza soka huko nchini Morocco. Sioni ni jinsi gani Msuva anaweza akumudu kumaliza miezi 6 nje ya Tanzania, kwa style yake ya soka na nilivyomshuhudia kwenye michuano ya Cosafa ni wazi kuwa, dirisha dogo la usajili lijalo Msuva atakuwa amerudi zake Bongo tayari kabisa kumwaga wino wake wa kuendelea kukipiga aidha Yanga au Simba.
Najua povu litawatoka ila huo ndio ukweli na mimi ni mjumbe na siku zote mjumbe hauwawi.
Nawasilisha...
Mleta mada anawakilisha mtizamo wa Watanzania walio wengi, msimlaumu sana.Mbona Watanzania tuna roho za chuki kiasi hiki,ebu tumuache msuva akajaribu bahati yake.
Sent using Jamii Forums mobile app