Mkuu vp, ushastafu kwenye kamati ya roho mbaya?Wakuu huu ni ukweli na ukweli lazma usemwe, Winga machachari wa Yanga na Taifa Stars anakwea pipa kwenda kucheza soka huko nchini Morocco. Sioni ni jinsi gani Msuva anaweza akumudu kumaliza miezi 6 nje ya Tanzania, kwa style yake ya soka na nilivyomshuhudia kwenye michuano ya Cosafa ni wazi kuwa, dirisha dogo la usajili lijalo Msuva atakuwa amerudi zake Bongo tayari kabisa kumwaga wino wake wa kuendelea kukipiga aidha Yanga au Simba.
Najua povu litawatoka ila huo ndio ukweli na mimi ni mjumbe na siku zote mjumbe hauwawi.
Nawasilisha...
ππππWakuu huu ni ukweli na ukweli lazma usemwe, Winga machachari wa Yanga na Taifa Stars anakwea pipa kwenda kucheza soka huko nchini Morocco. Sioni ni jinsi gani Msuva anaweza akumudu kumaliza miezi 6 nje ya Tanzania, kwa style yake ya soka na nilivyomshuhudia kwenye michuano ya Cosafa ni wazi kuwa, dirisha dogo la usajili lijalo Msuva atakuwa amerudi zake Bongo tayari kabisa kumwaga wino wake wa kuendelea kukipiga aidha Yanga au Simba.
Najua povu litawatoka ila huo ndio ukweli na mimi ni mjumbe na siku zote mjumbe hauwawi.
Nawasilisha...
Naunga mkono hoja dah adui Wa mtanzania s mabeberu kama tunavyotangaziwa ni mtanzania mwenyeweDunia iweke tuzo za Wachukiaji, Bongo kuna watu wana vipaji. By Darasa
Watu wa Msuva mnataka nitabiri ataenda wapi baada ya UrenoMsuva wa ULAYA...unacheza na watu hawajui Timu ya Taifa unategemea nini....
dah πππtisha sana mkuuWatu wa Msuva mnataka nitabiri ataenda wapi baada ya Ureno