Msuva hana muda mrefu atarejea Nyumbani

Msuva hana muda mrefu atarejea Nyumbani

Kweli penye wengi pana mengi........

c3713a6901e939608bb8fba30dc3682d.jpg
Kweli kabisa hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wanaosema Ushirikina haupo huwa wanatumia vigezo gani?
 
Naomba kujuzwa, hivi ni mchezaji gani aliyetokea Yanga ameshawahi kucheza soka la kulipwa nje ya Tanzania kwa mafanikio?
 
Wakuu huu ni ukweli na ukweli lazma usemwe, Winga machachari wa Yanga na Taifa Stars anakwea pipa kwenda kucheza soka huko nchini Morocco. Sioni ni jinsi gani Msuva anaweza akumudu kumaliza miezi 6 nje ya Tanzania, kwa style yake ya soka na nilivyomshuhudia kwenye michuano ya Cosafa ni wazi kuwa, dirisha dogo la usajili lijalo Msuva atakuwa amerudi zake Bongo tayari kabisa kumwaga wino wake wa kuendelea kukipiga aidha Yanga au Simba.

Najua povu litawatoka ila huo ndio ukweli na mimi ni mjumbe na siku zote mjumbe hauwawi.

Nawasilisha...
Mkuu vp, ushastafu kwenye kamati ya roho mbaya?

Sent using iPhone
 
Wakuu huu ni ukweli na ukweli lazma usemwe, Winga machachari wa Yanga na Taifa Stars anakwea pipa kwenda kucheza soka huko nchini Morocco. Sioni ni jinsi gani Msuva anaweza akumudu kumaliza miezi 6 nje ya Tanzania, kwa style yake ya soka na nilivyomshuhudia kwenye michuano ya Cosafa ni wazi kuwa, dirisha dogo la usajili lijalo Msuva atakuwa amerudi zake Bongo tayari kabisa kumwaga wino wake wa kuendelea kukipiga aidha Yanga au Simba.

Najua povu litawatoka ila huo ndio ukweli na mimi ni mjumbe na siku zote mjumbe hauwawi.

Nawasilisha...
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom