Msuva hatari sana

Msuva hatari sana

BrJem

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
16
Reaction score
6
Mchezaji wa kimataifa mwangalia Simon Msuva leo hii ameinusuru TZ kupata aibu mbele ya Mgeni rasmi muheshimiwa Mwakyembe. Hongera sana Msuva kaza uzi but wanayanga tunakukumbuka sana hasa cross zako. Nawathilisha
 
Angekuwa bado yupo chura fc asingefunga Hilo goli, maana wachezaji wa vyura fc muda mwingi Sasa hivi wanawaza miwa na chapati tu za kurumangia!
 
Angekuwa bado yupo chura fc asingefunga Hilo goli, maana wachezaji wa vyura fc muda mwingi Sasa hivi wanawaza miwa na chapati tu za kurumangia!
Tuna jenga uwanja wetu sasa, nyie mpaka muuze hisa a. K. a masaada
 
HIVI HII TIMU NI VIPI! HUU UWANJA AU BWAWA LA SAMAKI
yanga-uwanjani.jpg
 
Back
Top Bottom