Tetesi: Msuva kuchukua nafasi ya Morrison

Tetesi: Msuva kuchukua nafasi ya Morrison

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Yanga imemtema Morrison, imefanya tathmini na kuona ni mchezaji mzuri lakini hana impact kwenye klabu, mechi alizocheza na mshahara anaolipwa havifanani, ameonekana ni liability na sio asset.

Yanga wanaona mshahara waliokuwa wanamlipa Morrison wanaweza kumlipa Simon Msuva na taabu ikawa pale pale kwa wapinzani.
 
Efue kama Efue.... 😀 😀
Naona ndumba zake za kighana kwa watanzania zimeisha nguvu...
 
Mshahara wa Morrison hauwezi kuwa valuable kwa Msuva wala mchezaji yeyote pale Yanga.

Kama atachukuliwa Msuva basi tegemea mshahara mkubwa kutolewa kitu ambacho sikipi nafasi kubwa ya kuwezekana
 
Back
Top Bottom