Msuva kutua Yanga

Msuva kutua Yanga

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
13,628
Reaction score
20,992
Tetesi ZINASEMA Yanga imefunga usajili na Msuva, lakini bado wana vikao vya siri je kati yake na Azizi nani awahi kutambulishwa.

Hapa sasa ni biashara ya jezi.

Tarehe 6.8.2022 Yanga Day.
 
Tetesi ZINASEMA Yanga imefunga usajili na Msuva, lakini bado wana vikao vya siri je kati yake na Azizi nani awahi kutambulishwa.

Hapa sasa ni biashara ya jezi.

Tarehe 6.8.2022 Yanga Day.
Watanzania hatunaga utaratibu wa kununua jezi kisa mchezaji mpya mkuu, Kwanza tunauza jezi ambazo hazina majina ya wachezaji hivo huwezi ata kujua ni mchezaji gani amechangia sana kwenye mauzo ya jezi msimu fulani

kwetu tukio litakalofanya watu wanunue jezi mpya ni matamasha kama hayo ya siku ya wanachi watu hutaka nawao waonekane Wana jezi mpya, lakini bado unakuta uwanja zaidi ya nusu watu wamevaa jezi za msimu uliopita

Kwahiyo wao waanze na yoyote tu na haitoathiri biashara ya jezi, hatupo ulaya sie kusema ukimsajiri mchezaji mzuri basi mauzo ya jezi yatapanda msimu huo
 
Karibu nyumbani kiungo mshambuliaji hatari Simon Happygod Msuva! Naamini utaingia mkataba wenye kukupa nafasi ya kuondoka muda wowote utakapo pata timu ya nje, na yenye maslahi mazuri.

Hofu yangu iko tu kwa Yanga ya msimu ujao! Inaogopesha aisee!!
 
Dezo fc.

Yaani kwa umri huo bado ndoto zake ni kucheza nje?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hela baba jamaa sahizi anataka kwenda zake uarabuni huko
 
Back
Top Bottom